sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
ndio mkuuMboso ni muhindi!!!!!???
wanamuita mhindi wa kibitiMboso ni muhindi?
Am just his fan ...kingereza inapanda mkuu au nirudie?Anakulipa bei gani kwani?.....we unadhani kulia mchezo!
Ingawa sijui kiswahili ila hii ngoma ni kali sana sema kakosea sehemu moja tu nayo hata hiyo sehemu aliyokosea nikiangalia nakosa
kabachori ndio nini uwezi ongea bila kubagua watuLAIZER ni hatari zaidi ya huyo kabachori
Wakiitwa wazungumza hiyo lugha ya malkia na wewe utatoka!?Am just his fan ...kingereza inapanda mkuu au nirudie?
why not my nicca? queens language is like drinkin fresh water to meWakiitwa wazungumza hiyo lugha ya malkia na wewe utatoka!?
Halaf ngoma hajatengeneza laizer... ye kaweka vitu flan ivi...... ila ngoma ni kali sana ... mboso humu ndani ameua.... mboso huyu ndo yule wa yamoto...
Kabisa! aslay ni nomaIvi ndio tulisema kua uyu anakuja kumkalisha Aslay?acha tumsubiri mwingine kwanza ila kwenye kale ka-group kao Aslay ndio baba yao.