Mbosso arudi kivingine kukutoa machozi, Laizer alikuwa anamkosea

Mbosso arudi kivingine kukutoa machozi, Laizer alikuwa anamkosea

Wimbo wa picha yake ndio ujio mwingine Mbosso kutoka wcb.

Safari hii producer ni mhindi mwenzie Akili the brain, ama kweli producer wa sasa kamtendea haki wimbo una hisia na kunachemistry kati ya mwimbaji na mtayarishaji.

machozi lazma yakutoke kama una hisia za karibu.

Acha kutudanganya mkono wa laizer umehusika humu sikiliza kama hutosikia laizer inatajwa humo[emoji15] [emoji15]
 
Acha kutudanganya mkono wa laizer umehusika humu sikiliza kama hutosikia laizer inatajwa humo[emoji15] [emoji15]

laizer umo alichofanya ni kuongeza neno wasafiiii na jina lake ila kila kitu kafanya akili the brain laizer awwzi tengeneza hisia kali za aina hiyo. na wimbo umetengenezwa kabla mbosso awajamchukua wcb.
 
Back
Top Bottom