Mbosso arudi kivingine kukutoa machozi, Laizer alikuwa anamkosea

Mbosso arudi kivingine kukutoa machozi, Laizer alikuwa anamkosea

Ivi ndio tulisema kua uyu anakuja kumkalisha Aslay?acha tumsubiri mwingine kwanza ila kwenye kale ka-group kao Aslay ndio baba yao.
Naamini mtazamo kama wako ndio uliomchelewesha washabiki wengi wa aslayy wamejenga dhana ananyemelea nafas ya as lay so wameji position kumkataa but ana talent sana atakuja kueleweka ata kwa kuchelewa mimi mpk nimemfollow insta
 
gharama ya video hii shilingi milioni ngapi? utamsikia diamond bro huo wimbo umenigharimu 100, hawa wameushika muziki
 
namkubali mbosso ila azidishe bidii zaidi, Aslay is far better than him...japo ukongwe wa Aslay unachangia pia maana Aslay alianza game zaidi ya wote hawa,so ni makinda yake mwenyewe!
 
YAMOTO BAND

1. Aslay 2. Aslay 3. Beka 4. Beka
 
Wimbo mzuri sana kati ya alizo wai kutoa...
 
Back
Top Bottom