Lee Swagger
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 1,063
- 1,815
Mhh kama uelewi huyu Mtoto anaimba nini basi muziki ni lugha ngumu sana kama umesoma kidogo muziki huyu mtoto ni expert maybe anaimba level za juu sana kuzidi uwezo wa shabiki wa kawaida.Huyu dogo sijui anaimba nini hata. Bado sijamwelewa.
Naamini mtazamo kama wako ndio uliomchelewesha washabiki wengi wa aslayy wamejenga dhana ananyemelea nafas ya as lay so wameji position kumkataa but ana talent sana atakuja kueleweka ata kwa kuchelewa mimi mpk nimemfollow instaIvi ndio tulisema kua uyu anakuja kumkalisha Aslay?acha tumsubiri mwingine kwanza ila kwenye kale ka-group kao Aslay ndio baba yao.
"...queens" # queen's.why not my nicca? queens language is like drinkin fresh water to me
ha ha moto wa beka ni noma ule...Mboso bado atulie kidogo asipaniki kutaka kumpiku Aslay atapotea labda aanze kumuwaza Beka ndo atatoboa
Ivi ndio tulisema kua uyu anakuja kumkalisha Aslay?acha tumsubiri mwingine kwanza ila kwenye kale ka-group kao Aslay ndio baba yao.
FoolishNafikiri ni wakati sahihi wa WCB kufanya mziki unaondena na hadhi ya lebo yao.hii nyimbo audio production yake iko chini,Video hta nashindwa kuelewa nan kaandika script.Kazi nzuri japo haiendani na hadhi ya lebo.
kwani kuna muusika apo ? kamuulize diamondgharama ya video hii shilingi milioni ngapi? utamsikia diamond bro huo wimbo umenigharimu 100, hawa wameushika muziki
dogo unajuaje kama hawamo humu, na tunatumia majina bandia, kama hujui kuna watu wengi humu hadi mawaziri!kwani kuna muusika apo ? kamuulize diamond
Mhindi mweusi.Mboso ni muhindi!!!!!???