1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
kama diamond alivomkarisha KibaIvi ndio tulisema kua uyu anakuja kumkalisha Aslay?acha tumsubiri mwingine kwanza ila kwenye kale ka-group kao Aslay ndio baba yao.
Huu wimbo mkubwa sana asee...huko mitaani kila kona inaskika hii kitu tu
Acha kutudanganya mkono wa laizer umehusika humu sikiliza kama hutosikia laizer inatajwa humo[emoji15] [emoji15]
Wimbo wa picha yake ndio ujio mwingine Mbosso kutoka wcb.
Safari hii producer ni mhindi mwenzie Akili the brain, ama kweli producer wa sasa kamtendea haki wimbo una hisia na kunachemistry kati ya mwimbaji na mtayarishaji.
machozi lazma yakutoke kama una hisia za karibu.
Acha kutudanganya mkono wa laizer umehusika humu sikiliza kama hutosikia laizer inatajwa humo[emoji15] [emoji15]
kama diamond alivomkarisha Kiba
Mombasa wanamuelewa sanaAslay amekosea kitu kimoja tuu. Marketing. Nyimbo zake hachezwi Kenya. Kwa hisia zangu yuko fiti mbaya mbofu.
kama diamond alivomkarisha Kiba