Mbosso badilika, gemu itakushinda

Rayvanny na mond wametaja sana vyakula

Wametaja sana Malaya Wa kibongo mpaka wakaisha

Kama tatizo ni hilo mngeanza nao, unless ndo Yale Yale ya ushabiki maandazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa ana uwezo mkubwa Sana na uwezo wa kubadilika anao mfano ngoma Kama shida, alele na picha yake ameonesha utofauti sana nilitegemea ataendelea hivyo hivyo badala yake karudi Tena kwenye uhindi ebu ajifunze kwa rayvanny.
Mama Dangote ndiyo amemuambia kuwa nyimbo za design hizo ndiyo kali zinamkosha anko Shamte

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa ana uwezo mkubwa Sana na uwezo wa kubadilika anao mfano ngoma Kama shida, alele na picha yake ameonesha utofauti sana nilitegemea ataendelea hivyo hivyo badala yake karudi Tena kwenye uhindi ebu ajifunze kwa rayvanny.

Hata Rayvanny is boring, ukweli tuuseme. Mtu ambaye haboi WCB ni mwenye WCB yake na Harmonize naye alikuwa anajitahidi kutokuboa, tena Hamo alikua anajitahidi sana. Wengine wote wanaboa AF! Rayvanny anajua sana kuimba sijui kwanini manyimbo yake mengi ni mabaya mabaya yanaboaaaaaaa, huyo lavalava nilimsikiliza mwanzo sasa siwezi tena Na Mboso pia. Wanarudia sana mashairi. Ujinga ujinga tu.

Comments zimenichekesha tho!
 
Rayvanny na mond wametaja sana vyakula

Wametaja sana Malaya Wa kibongo mpaka wakaisha

Kama tatizo ni hilo mngeanza nao, unless ndo Yale Yale ya ushabiki maandazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ilikuwa in kunogesha habari tu mzizi wa mada ni mbosso kuimba nyimbo zenye mahadhi yale Yale,uandishi ule ule,video zile zile, imefika stage mashabiki tumekuwa bored,kwasababu hatuoniutifauti was ngoma zake km aslay tu sasa hivi hana jipya,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…