Barn
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 2,734
- 4,042
Dogo anaonekana anapenda sana kula au kupika[emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulikua na director wa video za miziki ya bongo fleva alikua anaitwa Kallaghe yeye kila video yake atayo i-direct lazima utaona matunda matunda humo ma -apple,fenesi,nanasi sijui aliishiaga wapi.Dogo anaonekana anapenda sana kula au kupika[emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bila kusahau kitambaa kichwan kama Rambo
Rayvanny na mond wametaja sana vyakulaAhlan wassalan wana jukwaa huyu kijana wa kuitwa mbosso khan mushedede kutoka viunga vya WCB kiundashi,melody na hata jinsi anavyoimba yuko njema.
Shida yake ni moja tu habadiliki kila siku nyimbo zile zile,uandishi ule ule,mahadhi Yale Yale kila wimbo anataja maandazi,kachori,chapati,mishikaki Mara nisugue,Mara nnikande,Mara nibebe Mara niteme n.k kiukweli inabidi abadilike kama anataka kufika mbali na kudumu KWENYE gemu kwa muda mrefu,in short mashabiki wamemchoka ushahidi ni huu wimbo wake mpya wa ate mahadhi Yale Yale,uandishi ule ule,hadi mashabiki wameamua kumchana abadilike wamemchoka,yangu ni hayo tu
"Njoo kichwa kichwa ule za uso saba"
Mama Dangote ndiyo amemuambia kuwa nyimbo za design hizo ndiyo kali zinamkosha anko ShamteJamaa ana uwezo mkubwa Sana na uwezo wa kubadilika anao mfano ngoma Kama shida, alele na picha yake ameonesha utofauti sana nilitegemea ataendelea hivyo hivyo badala yake karudi Tena kwenye uhindi ebu ajifunze kwa rayvanny.
Ndiyo kila siku mapenzi ya kulishana kashata, ufuta, cheuro, giligilani, visheti, bagia na kachori???
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ana shinda sana jikoni na mama dangoteDogo anaonekana anapenda sana kula au kupika[emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa ana uwezo mkubwa Sana na uwezo wa kubadilika anao mfano ngoma Kama shida, alele na picha yake ameonesha utofauti sana nilitegemea ataendelea hivyo hivyo badala yake karudi Tena kwenye uhindi ebu ajifunze kwa rayvanny.
Hiyo ilikuwa in kunogesha habari tu mzizi wa mada ni mbosso kuimba nyimbo zenye mahadhi yale Yale,uandishi ule ule,video zile zile, imefika stage mashabiki tumekuwa bored,kwasababu hatuoniutifauti was ngoma zake km aslay tu sasa hivi hana jipya,Rayvanny na mond wametaja sana vyakula
Wametaja sana Malaya Wa kibongo mpaka wakaisha
Kama tatizo ni hilo mngeanza nao, unless ndo Yale Yale ya ushabiki maandazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni alikiba fanWatu walishamchoka kitambo tu tokea alivyoachia tamu cha msingi ni kubadilika tu hakuna namna hivyo vitumbua ,kachori ,machapati akusanye afungue biashara ya vitafunwa kama muziki umemshinda.
Nimemtumia link whatsappnilitaman apite huku ajifunze kwa vitendo