Mkuu umenikumbusha far away sanaKulikua na director wa video za miziki ya bongo fleva alikua anaitwa Kallaghe yeye kila video yake atayo i-direct lazima utaona matunda matunda humo ma -apple,fenesi,nanasi sijui aliishiaga wapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah siku zinakimbia sana mkuu.Mkuu umenikumbusha far away sana
Ni fan wa muziki mzuri ,sio kwamba Mbosso hajui au mashairi yake mabaya hapana ila watu wamechoka kusikiliza kitu kimoja kila siku .
manengelo hapa hujapita dear
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Kijana mara oooh! nalishwa pili pili nanyweshwa mchaichai, naogeshwa maji ya battery na kupakwa upupu.....ili mradi uongo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani huu Uzi kila Mara huwa napitia comments zake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Aysee nacheka mpaka DJ kazima mziki hapa KIDIMBWI.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂Yeye na yule mvimba mashavu.
Ngoja apitie hapa aone maandazi yake,kachori,kachumbali yakeAhlan wasahlan wanajukwaa,
Huyu kijana wa kuitwa Mbosso "Khan Mushedede" kutoka viunga vya WCB kiundashi, melody na hata jinsi anavyoimba yuko njema.
Shida yake ni moja tu: habadiliki, kila siku nyimbo zile zile, uandishi ule ule, mahadhi yale yale. Kila wimbo anataja maandazi, kachori, chapati, mishikaki; mara nisugue, mara nikande, mara nibebe, mara niteme n.k.
Kiukweli inabidi abadilike kama anataka kufika mbali na kudumu kwenye gemu kwa muda mrefu. In short, mashabiki wamemchoka. Ushahidi ni huu wimbo wake mpya wa ate; mahadhi yale yale, uandishi ule ule, hadi mashabiki wameamua kumchana abadilike wamemchoka.
Yangu ni hayo tu.
"Njoo kichwa kichwa ule za uso saba"
Watu mnamaneno?zile zile, uandishi ule ule, mahadhi yale yale. Kila wimbo anataja maandazi, kachori, chapati, mishikaki; mara nisugue, mara nikande, mara nibebe, mara niteme n.k.
Full. Madongo nimemtumia link ya huu uzi kacheka kwa kusikitika sana.Kweli Mungu hawezi kukunyima vyote! Hakika Wabongo tumejaliwa kipaji cha kuongea aisee! Siyo kwa madongo hayo!
Aslay yeye kila siku kulalamika anaonewa, ametendwa, ameachwa, mpenzi anamtesaNa hii aliyoimba na Chikune wa Namibia,tena hii kabadilika vizuri.Inabidi awe makini asije kuwa kama Aslay.
Nipo nacheki video ya mbosso hapa nimecheka sanaHuko uliopo op shushia maandazi