Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Nadhan aliwaza papuchi sababu ukiangangalia matamshi ya "mbo"alafu soHuyu dogo aliwaza nini kujiita mboso ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhan aliwaza papuchi sababu ukiangangalia matamshi ya "mbo"alafu soHuyu dogo aliwaza nini kujiita mboso ?
Anatunga mwenyeweMbosso nampenda,
Lavalava ana kipaji,sana tu,ingawa mtunzi wa nyimbo zake haeleweki
Labda abadilishwe na wenzake. Na nina liona hilo. Maana tangu aingie hapo, ana nyimbo mbili ambazo nimezioenda. Nadekezwa na picha yakeSi kweli hata kidogoo...
Mbosso yuko super sana.
Punguza chuki.
Mboso is one hell of an Artist... Sijui Wabongo tunatakaga nini yani. Kwangu mimi MBOSO is bigger than Platinumz..
Anaimba vitu vya kawaida sana in talented voice, mashairi ya Kifundi, muziki wa taratibu but Very sure. Nadekezwa huwezi kuiacha kwenye nyimbo 10 kubwa zinazosikilizwa zaidi kwa sasa.
Ushauri: Tuache Chuki
[emoji106]Nadekezwa aisee ni bonge moja la nyimbo, ndio nyimbo nnayoisikiliza kuliko zote.
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Nadhan aliwaza papuchi sababu ukiangangalia matamshi ya "mbo"alafu so
hahaaahaaa eti lebel Juneau Africa kwa sasa"" My footPunguza chuki mkuu maama wcb ndo lebo kubwa Africa kwa sasa
hahaa huyo lava lava ndio hovyo kabisaaaaaLavalava na mbosso wanachokiimba hata siwaelewi..
Mimi naona labda wajaribu ma collabo labda yatawatoa.
Lkn kwa style hii ya kuimba kaswida bado hawajanipata kuzikubali ngoma zao
zahara hana mfano""Huyu mwana dada namkubar zahara anasaut