Mbosso hapendwi lakini nyimbo zake ndo tunalala nazo

Mbosso hapendwi lakini nyimbo zake ndo tunalala nazo

Naikubali sana ile nadekezwa.....na hii nloona anaimba diamond huko insta inaonesha nzuri
 
Hadi sasa Mbosso katoa nyimbo 2, Picha Yake na Nadekezwa ndio nyimbo za maana, nyingine sijazielewa
 
Si kweli hata kidogoo...

Mbosso yuko super sana.

Punguza chuki.
Labda abadilishwe na wenzake. Na nina liona hilo. Maana tangu aingie hapo, ana nyimbo mbili ambazo nimezioenda. Nadekezwa na picha yake
 
Mboso is one hell of an Artist... Sijui Wabongo tunatakaga nini yani. Kwangu mimi MBOSO is bigger than Platinumz..

Anaimba vitu vya kawaida sana in talented voice, mashairi ya Kifundi, muziki wa taratibu but Very sure. Nadekezwa huwezi kuiacha kwenye nyimbo 10 kubwa zinazosikilizwa zaidi kwa sasa.

Ushauri: Tuache Chuki
 
usiseme wabongo wanataka nini Sema wana jf wanataka nini... wabongo wanamuelewa sana tu mbosso ukitaka mtazamo wa watanzania nenda yuotube, facebook na Insta.
 
Makada wa WCB bwana wapo kama makada wa ccm tu wanakubali na kisifia kila kitu hata kama kibovu
 
Lavalava na mbosso wanachokiimba hata siwaelewi..
Mimi naona labda wajaribu ma collabo labda yatawatoa.

Lkn kwa style hii ya kuimba kaswida bado hawajanipata kuzikubali ngoma zao
hahaa huyo lava lava ndio hovyo kabisaaaaa
 
Back
Top Bottom