Mbosso: Huwa nateseka sana, aeleza anayoyapitia akitoa vibao na video vixens wake

Mbosso: Huwa nateseka sana, aeleza anayoyapitia akitoa vibao na video vixens wake

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2021
Posts
630
Reaction score
1,262
Watu mashuhuri, wasanii na kila mwanamke na mwanamume ana hisia za mwili wake, lakini wanayoyapitia wasanii ni mengi hasa wakati wanatoa video ya vibao vyao.

Mwimbaji na mwandishi wa nyimbo kutoka Tanzania anayeshirikiana na Wasafi Records inayomilikiwa na staa wa bongo, Diamond, amejitokeza na kukiri changamoto anazopitia hasa wakati wa kutengeneza video ya wimbo wao mpya.

Katika albamu yake ya hivi punde, msanii huyo alifanya kolabo na msanii mrembo zaidi kutoka Tanzania Zuchu.

Video yao ya muziki sasa inavuma kwa nambari nne na kutazamwa karibu milioni moja katika chini ya siku tatu.

Video hiyo pia ilionyesha video vixen ambao pia ni warembo sana.

Mbosso Khan hakuweza kuficha jinsi anavyovutiwa na sura nzuri za wanawake hao. Alikiri kwamba ni kweli huwa anajiribu kujilinda.

"Utasikia “..haka Ka Mbosso Kanaonekana kanayaweza Mambo .., KanaEnjoy Sana Video Zake.. “Nyie na Mimi huwa Nateseka sana .., Kuna Sehemu zangu Nyingine za Mwili huwa zinapata tabu Mnooo Kwenye hizi Shots .."Alisema Mbosso.

images (2).jpeg

 
Back
Top Bottom