Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Daa nyimbo gani hii wewe cbora nisikilize hata bangi bangi bangi imenifanya nisote
Mbona hata Mimi namjua sana na jana tu tulikuwa naye. kama unataka maelezo zaidi pm.Mwenye Hiyo Avater Najuana Naye Vilivyo Je Ndio Wewe Au Umeweka Tu ? Kabila Lake Mchagga Jina Uje Pm Na Ole Wako Usiwe Wewe
Nahisi wngemchukua Aslay wangemharibu singekuwa anaimba anavyoimba.Kiukweli mi natumia nguvu sana kuzipenda nyimbo za Lavalava lakini nameshindwa, nimebahatika kuupenda mmoja tu ule wa 'Dede', hii pia naiona kwenye nyimbo za huyu Mbosso ule wa kwanza nimeusikiliziza maranyingi ila bado haujaniingia akilini, na huu pia sidhani kama nitaupenda hata nikiusikiliza maranyingi. Harmonize na Rayvanny sikupata shida kuwakubali tangia wimbo wa kwanza. Mi naona Diamond na management yake wamebet vibaya kwa hawa wawili, wangeweka mzigo kwa Aslay wangepiga hela sana yule dogo ni mkali though Clouds wanataka kumuharibia kwa promo mshenzi, even Beka is better than huyo Maromboso
Ninauhakika kabisa wewe na watu wa aina yako siyo wapenzi wa mziki bali ni mashabiki uchwara fulani. Inaonesha kiwango cha ushamba ulichonacho. Wepenzi wa muziki watasikiliza muziki na siyo kuangalia personality ya mtu na kumshindanisha. Musiki siyo mashindani bro, ni hisia ya ndani. Only music can bring peace and joy among people.Nahisi wngemchukua Aslay wangemharibu singekuwa anaimba anavyoimba.
Nahisi wana pressure ya kutoa ngoma kali hivyo mtu anatumia muda mwingi kuremba ngoma na kutafuta style mwisho anatoa boko.
Lakini kuna ile mtu anaimba freely tu akipata mzuka anarekodi ka kimasihara akiachia dude linachanja mbuga tu.
Ni mtazamo wako so that is not my problemNinauhakika kabisa wewe na watu wa aina yako siyo wapenzi wa mziki bali ni mashabiki uchwara fulani. Inaonesha kiwango cha ushamba ulichonacho. Wepenzi wa muziki watasikiliza muziki na siyo kuangalia personality ya mtu na kumshindanisha. Musiki siyo mashindani bro, ni hisia ya ndani. Only music can bring peace and joy among people.
Kwanini watanzania wengi wenye mfano wako mnakuwa washamba kiasi hicho?
Waache vijana wafanye kazi zao. Awe Aslay, Nandy, Mbosso, Alikiba, Diamond nk. All we need music na siyo ushabiki wenu huu wa kishamba.
Siyo mtazamo dogo. Wapenzi wa music tunajuana. Lakini nyie washamba washamba ndiyo mnaleta ushabiki wa kijinga. Tunahitaji music mzuri siyo ushabiki wa kitoto kama wenu. Ninauhakika hujui hata benefits za mziki.
Narudia tena ni mtazamo wako that is not my problem tusilazimishane kupenda unachopenda.Siyo mtazamo dogo. Wapenzi wa music tunajuana. Lakini nyie washamba washamba ndiyo mnaleta ushabiki wa kijinga. Tunahitaji music mzuri siyo ushabiki wa kitoto kama wenu. Ninauhakika hujui hata benefits za mziki.
Wewe inaonesha hujaelewa jamaa anachosemaNinauhakika kabisa wewe na watu wa aina yako siyo wapenzi wa mziki bali ni mashabiki uchwara fulani. Inaonesha kiwango cha ushamba ulichonacho. Wepenzi wa muziki watasikiliza muziki na siyo kuangalia personality ya mtu na kumshindanisha. Musiki siyo mashindani bro, ni hisia ya ndani. Only music can bring peace and joy among people.
Kwanini watanzania wengi wenye mfano wako mnakuwa washamba kiasi hicho?
Waache vijana wafanye kazi zao. Awe Aslay, Nandy, Mbosso, Alikiba, Diamond nk. All we need music na siyo ushabiki wenu huu wa kishamba.
Hajaelewa kaishia tu kunishambulia bila hata kuelewa nilichoandika.Wewe inaonesha hujaelewa jamaa anachosema
Nani amekulazimisha? Au wewe mwenyewe unajilazimisha. We need music only na siyo personalities. Waache wafanye Kazi zao na hakuna wa kukulazimisha kusikiliza. Music wa kweli hudumu na muziki ni internal feelings na siyo ushabiki.Narudia tena ni mtazamo wako that is not my problem tusilazimishane kupenda unachopenda.
Au kuna tatizo tofauti na hilo?
Kama hakuna uwe na siku njema
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Nimemuelewa Sana. Lengo lake ni kumlinganisha mwanamziki mmoja na Aslay. Na ninapenda kumweleza music ni talent siyo kila mmoja anweza kuimba. Wapeni nafasi vijana wote wenye talent wafanye kazi zao. Siyo luanza kuwakejeli kwenye mitandao.Wewe inaonesha hujaelewa jamaa anachosema
Unajitekenya na unacheka mwenyewe kama bado uko shuleni jitahidi uwe unasoma na kuelewa kuliko kudhani umeelewa kumbe hujaelewa utafail.Nani amekulazimisha? Au wewe mwenyewe unajilazimisha. We need music only na siyo personalities. Waache wafanye Kazi zao na hakuna wa kukulazimisha kusikiliza. Music wa kweli hudumu na muziki ni internal feelings na siyo ushabiki.
Hilo povu ulilolitoa hapa ni dalili ya message yangu umeipata kisawa sawa. Siku zingine usilete mambo ya kishamba. Jadili issues siyo personalities.Unajitekenya na unacheka mwenyewe kama bado uko shuleni jitahidi uwe unasoma na kuelewa kuliko kudhani umeelewa kumbe hujaelewa utafail.
Kama jambo dogo nililoliandika hujalielewa unaanza nilisha maneno sijui kama mambo makubwa utayaelewa. Unaweza kunionyesha kwenye hiyo sehemu uliyo ni quote nimemringanisha Aslay na nani labda?
Ila pia naheshimu mawazo yako japo huenda hayana maana ni takataka lakini ni uhuru wako.
Hata maana ya issues na personalities huijui umeandika tu.Hilo povu ulilolitoa hapa ni dalili ya message yangu umeipata kisawa sawa. Siku zingine usilete mambo ya kishamba. Jadili issues siyo personalities.
Unamawazo ya kijinga rafiki yangu kaa tafakari wapi unaumwa ujitibie yani mtu anajitoa kutangaza Nyimbo za wasanii wake kwenye kusimamia mambo ya ya kisanii yanakwenda poa kama kusimamia kushoot video bora kama hufwatili mziki kaa kimya Nenda kaangalie behind the scene ya mboso nyimbo watakubali ndo Utajua ujinga unao sema kama angekuwa ataki kupitwa Leo ungemjua rayvanny Harmonise lavalava hao nimachipukizi ukiwa unaongea husisha na ubongo kidogidiamond anabeba wanamuziki wabovu ili wasimfunike hatari sana