Mbosso khan ameleta balaa nyingine mpya

Mbosso khan ameleta balaa nyingine mpya

Ule wimbo wa kwanza sikuuelewa, nikasema nampa muda.

Sasa hii nayo kafamba mbaya.

Kwa style hii hawezi kabisa kushindana na kina Aslay na Beka.
 
Amekopi wimbo wa Abdu Kiba Bilinge Bayoyo.
 
Mwenye Hiyo Avater Najuana Naye Vilivyo Je Ndio Wewe Au Umeweka Tu ? Kabila Lake Mchagga Jina Uje Pm Na Ole Wako Usiwe Wewe
Mbona hata Mimi namjua sana na jana tu tulikuwa naye. kama unataka maelezo zaidi pm.
 
Kiukweli mi natumia nguvu sana kuzipenda nyimbo za Lavalava lakini nameshindwa, nimebahatika kuupenda mmoja tu ule wa 'Dede', hii pia naiona kwenye nyimbo za huyu Mbosso ule wa kwanza nimeusikiliziza maranyingi ila bado haujaniingia akilini, na huu pia sidhani kama nitaupenda hata nikiusikiliza maranyingi. Harmonize na Rayvanny sikupata shida kuwakubali tangia wimbo wa kwanza. Mi naona Diamond na management yake wamebet vibaya kwa hawa wawili, wangeweka mzigo kwa Aslay wangepiga hela sana yule dogo ni mkali though Clouds wanataka kumuharibia kwa promo mshenzi, even Beka is better than huyo Maromboso
 
Nahisi wngemchukua Aslay wangemharibu singekuwa anaimba anavyoimba.
Nahisi wana pressure ya kutoa ngoma kali hivyo mtu anatumia muda mwingi kuremba ngoma na kutafuta style mwisho anatoa boko.
Lakini kuna ile mtu anaimba freely tu akipata mzuka anarekodi ka kimasihara akiachia dude linachanja mbuga tu.
 
Ninauhakika kabisa wewe na watu wa aina yako siyo wapenzi wa mziki bali ni mashabiki uchwara fulani. Inaonesha kiwango cha ushamba ulichonacho. Wepenzi wa muziki watasikiliza muziki na siyo kuangalia personality ya mtu na kumshindanisha. Musiki siyo mashindani bro, ni hisia ya ndani. Only music can bring peace and joy among people.
Kwanini watanzania wengi wenye mfano wako mnakuwa washamba kiasi hicho?
Waache vijana wafanye kazi zao. Awe Aslay, Nandy, Mbosso, Alikiba, Diamond nk. All we need music na siyo ushabiki wenu huu wa kishamba.
 
Ni mtazamo wako so that is not my problem

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Siyo mtazamo dogo. Wapenzi wa music tunajuana. Lakini nyie washamba washamba ndiyo mnaleta ushabiki wa kijinga. Tunahitaji music mzuri siyo ushabiki wa kitoto kama wenu. Ninauhakika hujui hata benefits za mziki.
 
Narudia tena ni mtazamo wako that is not my problem tusilazimishane kupenda unachopenda.
Au kuna tatizo tofauti na hilo?
Kama hakuna uwe na siku njema

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Ninauhakika kabisa wewe na watu wa aina yako siyo wapenzi wa mziki bali ni mashabiki uchwara fulani. Inaonesha kiwango cha ushamba ulichonacho. Wepenzi wa muziki watasikiliza muziki na siyo kuangalia personality ya mtu na kumshindanisha. Musiki siyo mashindani bro, ni hisia ya ndani. Only music can bring peace and joy among people.
Kwanini watanzania wengi wenye mfano wako mnakuwa washamba kiasi hicho?
Waache vijana wafanye kazi zao. Awe Aslay, Nandy, Mbosso, Alikiba, Diamond nk. All we need music na siyo ushabiki wenu huu wa kishamba.
Wewe inaonesha hujaelewa jamaa anachosema
 
Narudia tena ni mtazamo wako that is not my problem tusilazimishane kupenda unachopenda.
Au kuna tatizo tofauti na hilo?
Kama hakuna uwe na siku njema

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Nani amekulazimisha? Au wewe mwenyewe unajilazimisha. We need music only na siyo personalities. Waache wafanye Kazi zao na hakuna wa kukulazimisha kusikiliza. Music wa kweli hudumu na muziki ni internal feelings na siyo ushabiki.
 
Wewe inaonesha hujaelewa jamaa anachosema
Nimemuelewa Sana. Lengo lake ni kumlinganisha mwanamziki mmoja na Aslay. Na ninapenda kumweleza music ni talent siyo kila mmoja anweza kuimba. Wapeni nafasi vijana wote wenye talent wafanye kazi zao. Siyo luanza kuwakejeli kwenye mitandao.
 
Nani amekulazimisha? Au wewe mwenyewe unajilazimisha. We need music only na siyo personalities. Waache wafanye Kazi zao na hakuna wa kukulazimisha kusikiliza. Music wa kweli hudumu na muziki ni internal feelings na siyo ushabiki.
Unajitekenya na unacheka mwenyewe kama bado uko shuleni jitahidi uwe unasoma na kuelewa kuliko kudhani umeelewa kumbe hujaelewa utafail.
Kama jambo dogo nililoliandika hujalielewa unaanza nilisha maneno sijui kama mambo makubwa utayaelewa. Unaweza kunionyesha kwenye hiyo sehemu uliyo ni quote nimemringanisha Aslay na nani labda?
Ila pia naheshimu mawazo yako japo huenda hayana maana ni takataka lakini ni uhuru wako.
 
1. Rayvanny
2. Rich Mavoko
3. Harmonize
4. Diamond mwenyewe

Kwa (WCB) mtiririko huo huo kuanzia namba moja kushuka chini ndio huwa wananikosha kwa nyimbo zao naweza kupoteza bandle langu naangalia kazi zao za nyuma. Huyo lavalava sijawahi hata kuwa na nyimbo zake. NGOJA NIJIPE MUDA NAWEZA KUJA KUMWELEWA "MBOSO"
 
Unajitekenya na unacheka mwenyewe kama bado uko shuleni jitahidi uwe unasoma na kuelewa kuliko kudhani umeelewa kumbe hujaelewa utafail.
Kama jambo dogo nililoliandika hujalielewa unaanza nilisha maneno sijui kama mambo makubwa utayaelewa. Unaweza kunionyesha kwenye hiyo sehemu uliyo ni quote nimemringanisha Aslay na nani labda?
Ila pia naheshimu mawazo yako japo huenda hayana maana ni takataka lakini ni uhuru wako.
Hilo povu ulilolitoa hapa ni dalili ya message yangu umeipata kisawa sawa. Siku zingine usilete mambo ya kishamba. Jadili issues siyo personalities.
 
Hata maana ya issues na personalities huijui umeandika tu.
Ningesema tatizo marombosso ni malaya halafu mfupi hiyo ni personality yake ila nimesema tatizo wcb wana work under pressure hiyo ni issue.
Usijali nitaendelea kukuelimisha taratibu.
Una swali la ziada?

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
diamond anabeba wanamuziki wabovu ili wasimfunike hatari sana
Unamawazo ya kijinga rafiki yangu kaa tafakari wapi unaumwa ujitibie yani mtu anajitoa kutangaza Nyimbo za wasanii wake kwenye kusimamia mambo ya ya kisanii yanakwenda poa kama kusimamia kushoot video bora kama hufwatili mziki kaa kimya Nenda kaangalie behind the scene ya mboso nyimbo watakubali ndo Utajua ujinga unao sema kama angekuwa ataki kupitwa Leo ungemjua rayvanny Harmonise lavalava hao nimachipukizi ukiwa unaongea husisha na ubongo kidogi
 
Back
Top Bottom