Kiukweli mi natumia nguvu sana kuzipenda nyimbo za Lavalava lakini nameshindwa, nimebahatika kuupenda mmoja tu ule wa 'Dede', hii pia naiona kwenye nyimbo za huyu Mbosso ule wa kwanza nimeusikiliziza maranyingi ila bado haujaniingia akilini, na huu pia sidhani kama nitaupenda hata nikiusikiliza maranyingi. Harmonize na Rayvanny sikupata shida kuwakubali tangia wimbo wa kwanza. Mi naona Diamond na management yake wamebet vibaya kwa hawa wawili, wangeweka mzigo kwa Aslay wangepiga hela sana yule dogo ni mkali though Clouds wanataka kumuharibia kwa promo mshenzi, even Beka is better than huyo Maromboso