Hata mimi hizi habari nilizipata umu umu nikasikia hata mixing na mastering wanafanya wengine ndo maana sometimes kizzy anatengeneza beat lakin vocaling unakuta kafanya chizan brain ila sina hakina sasa kumbuka now dogo ana studio yake mwenyewe inaitwa Plutokwani si naskia kizzy hajui kufanya master so anafanyaga nani hapo switcher??
Shilingi imegeuka, kichwa kimekuwa mwengeMbona mlikuwa mnamponda kila siku humu na nyimbo zake za mwanzoni... imekuwaje tena!!
ha ha ha since day one mi niliona dogo ana kitu cha tofauti...Shilingi imegeuka, kichwa kimekuwa mwenge
Naona kaamua aimbe taarabu ya kizazi kipya
Kwani taarabu sio muziki?
[emoji3][emoji3][emoji3]Si ndio maana nampongeza kwa kufuata nyayo za kina Hadija Kopa