MBOSSO KHANI, MBOSSO MSHEDEDE KAMA UNAVYOJIITA!

MBOSSO KHANI, MBOSSO MSHEDEDE KAMA UNAVYOJIITA!

kwani si naskia kizzy hajui kufanya master so anafanyaga nani hapo switcher??
Hata mimi hizi habari nilizipata umu umu nikasikia hata mixing na mastering wanafanya wengine ndo maana sometimes kizzy anatengeneza beat lakin vocaling unakuta kafanya chizan brain ila sina hakina sasa kumbuka now dogo ana studio yake mwenyewe inaitwa Pluto
 
Back
Top Bottom