Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Huwezi kunkinganisha mboso na kiba mboso na kaka yake mondi ni wa juzi hao. Acheni ujinga
Mbosso hamna kitu labda umlinganishe na hamonize tungekuelewaKwan wanalinganisha umri au nyimbo zao.soma tena halafu utamjua mjinga ni nani
Soma tena.jamaa kalinganisha nyimbo mbili na sio watu.Mbosso hamna kitu labda umlinganishe na hamonize tungekuelewa
Alikiba yumo check titleWimbo wa rhumba sio wa kiba ni wa watoto wake.
So hapo tunapambanisha watoto wa kiba vs mtoto wa diamond.
Alikiba yumo check title
Mkuu unakosea sana....Wapenzi wasikilizaji.
Mpaka leo nyimbo hizi mbili zimefikisha siku mbili.
Wimbo wa Mbosso ukiwa na views 640,000 huku wimbo wa Alikiba ukiwa na views 430,000.
Naomba tutoe maoni. Ni nani kafanikiwa. Na ikipendeza tutoe sababu.
Wapenzi wasikilizaji.
Mpaka leo nyimbo hizi mbili zimefikisha siku mbili.
Wimbo wa Mbosso ukiwa na views 640,000 huku wimbo wa Alikiba ukiwa na views 430,000.
Naomba tutoe maoni. Ni nani kafanikiwa. Na ikipendeza tutoe sababu.
Naomba unirekebishe pale nimekosea.Mkuu unakosea sana....
Hauwez ukamlinganisha Mbosso na Alikiba n makosa, s Alikiba tu hata awe tundaman...heshimu LegacyNaomba unirekebishe pale nimekosea.
Nimeongelea wimbo wa Mbosso na Wimbo wa Alikiba. Nyimbo hizo zimetoka siku moja.Hauwez ukamlinganisha Mbosso na Alikiba n makosa, s Alikiba tu hata awe tundaman...heshimu Legacy
Huenda mjinga akawa IjuraKwan wanalinganisha umri au nyimbo zao.soma tena halafu utamjua mjinga ni nani
Huo wimbo sio wa kiba ni wa vijana wakeNimeongelea wimbo wa Mbosso na Wimbo wa Alikiba. Nyimbo hizo zimetoka siku moja.
Je, nini kosa katika hilo!?
Achana nae huyo itakuwa ana vuta bangiUnajua maana ya neno present?
Rhumba subscribers 28k, mbosso maajabu subscribers 562k view lazima ziwe tofautiWapenzi wasikilizaji.