Mbosso vs Alikiba (Maajabu vs Rhumba)

Mbosso vs Alikiba (Maajabu vs Rhumba)

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
26,519
Reaction score
78,311
Wapenzi wasikilizaji.
Mpaka leo nyimbo hizi mbili zimefikisha siku mbili.
Wimbo wa Mbosso ukiwa na views 640,000 huku wimbo wa Alikiba ukiwa na views 430,000.

Naomba tutoe maoni. Ni nani kafanikiwa. Na ikipendeza tutoe sababu.
 
Mkuu unakosea sana....
 
We jamaa bana..jamaa kafananisha kiba na mboso wapi?
Wapenzi wasikilizaji.
Mpaka leo nyimbo hizi mbili zimefikisha siku mbili.
Wimbo wa Mbosso ukiwa na views 640,000 huku wimbo wa Alikiba ukiwa na views 430,000.

Naomba tutoe maoni. Ni nani kafanikiwa. Na ikipendeza tutoe sababu.
 
Hauwez ukamlinganisha Mbosso na Alikiba n makosa, s Alikiba tu hata awe tundaman...heshimu Legacy
Nimeongelea wimbo wa Mbosso na Wimbo wa Alikiba. Nyimbo hizo zimetoka siku moja.
Je, nini kosa katika hilo!?
 
Acheni kumfananisha Mbosso na mambo ya kijinga
 
Wapenzi wasikilizaji.
Mpaka leo nyimbo hizi mbili zimefikisha siku mbili.
Wimbo wa Mbosso ukiwa na views 640,000 huku wimbo wa Alikiba ukiwa na views 430,000.

Naomba tutoe maoni. Ni nani kafanikiwa. Na ikipendeza tutoe sababu.
Rhumba subscribers 28k, mbosso maajabu subscribers 562k view lazima ziwe tofauti
 
Back
Top Bottom