Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umenenaAngalau Aslay vs Beka
Kwa wasiomfahamu Marombosso ni kijana hapo kwenye video, ambae alikuwa miongoni mwa wanaounda Yamoto band.
Kwa sasa ametoka kupitia WCB.
Wakati yupo Yamoto walikuwa wanachuana vikali na Aslay na inasemekana ni moja ya sababu kundi kuvunjika ni hivi vipaji viwili.
Kwa kutazama muono wa mbali tutarajie mchuano mkali ambao siwezi kuuita bifu bali ni mchuano wa vipaji toka kwa aslay na mbosso.
Nini kitatokea baada ya mchuano huo kuanza rasmi? Tuvute subira.
Mleta mada angalau umeleta mfananisho unaoendana!!
Sie wengine tulikuwa tunaangalia tu walivyokuwa wanajaribu kumpambanisha Aslya na Diamond baada ya kuwa wameshindwa kwa Darasa!!! Tukaonya hapa, msimvimbishe kichwa dogo akajiona tayari ameshakuwa heavy weight manake yupo bado sana kuweza kumshindanisha na mtu mwenye fans base ya kufa mtu Afrika Mashariki yote and beyond!
Watu wakamjaza... wakamjaza... nasikia hivi sasa analia lia! Mara aandike barua kwa mama... mwanamuziki unaandika barua kwa mama badala ya kutunga wimbo kwa mama kumwelezea maswahibu yako!!!
Waliojulia muziki ukubwani wanadhani muziki is all about kuingia studio na kutoa hit song! Yes, muziki upo hivyo... lakini hakuna muziki pasipo tasnia ya muziki!
Na kwa kujibu swali la mleta mada, Maromboso atampoteza Aslay kwa sababu Mboso amezungukwa na watu wanaojua muziki na tasnia ya muziki!
All in all, I cry for Beka Flavor...
Hoja mbovu kabisa! Unaweza kutaja sababu moja tu iliyokufanya uone nina chuki na Aslay?!Jamaa una chuki za waziwazi kwa Aslay
Hoja mbovu kabisa! Unaweza kutaja sababu moja tu iliyokufanya uone nina chuki na Aslay?!
Yaani Aslay ninaemjua tangia akiwa mdogo anaimba ndo hivi sasa niseme amejulia muziki ukubwani?!Kujua mziki ukubwani, amebaki kuandika barua kwa mama, mziki si kuingia studio tu nk
Aslay kidgo mfananishe na beka na syo mboso kidgousirudie tena kumfananisha Aslay na vitu vya ajabu.
Ahahaaaaaaaaaaah...
Naona watu wengi hawajui vizuri uwezo wa Mbosso..!
Lakini Aslay mwenyewe anajua Mbosso ni nani..!
Lakini muda utawajibu..!
Wewe unaonaje Now?nani [emoji91][emoji91] Kati ya mboso na aslay,maana iko wazi?Ni miezi tisa sasa tangu utoe angalizo la muda..Muda umeanza kutoa majibu au tuendelee kusubiri?
Wewe unaonaje Now?nani [emoji91][emoji91] Kati ya mboso na aslay,maana iko wazi?
hatujadili historia tunajadili uwezo walonao kwa sasa historia weka pembeniHuwezi kuwaza kumshindanisha aslay na mbosso hata kidogo kwani wapo level tofauti kabisa.... Angalia historia ya asley kwenye muziki kabla na baada ya Yamoto Band,ni wazi kabisa aslay alitumika Kama chachu kuwainua kina mbosso na beka na wengineo ndani ya Yamoto Band na kuthibitisha hilo hata baada ya kundi kusambaa bado asley ameendelea kung'ara zaidi it's Like kundi lilimbana Sana sasa unawezaje kumlinganisha msanii mkubwa na underground ambaye anataka kutoka kupitia majina makubwa ya wasanii wenzake na lebo zenye majina