msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,280
- 7,903
Mboso bado mdogo kimuziki kwa aslay,,,,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maelezo mengiiii kumbe hujaelewa kitu hapo hajauliza kuhusu fitina wanazokutana nazo ao wasanii kwene maisha yao ya mziki bali kauliza nani ni mkal kwa mtazamo wako, ukiwa na evidence itapendeza zaiidiYaani Aslay ninaemjua tangia akiwa mdogo anaimba ndo hivi sasa niseme amejulia muziki ukubwani?!
Wachangiaji hapa ndio nimewaita "waliojulia muziki ukubwani" na kwamba wanadhani music is all about kuingia studio na kutoa hit song! Aidha, kwavile hawafahamu tasnia ya muziki na fitina zake, wanadhani kujua kuimba ndo kila kitu wakati muziki ni zaidi ya kujua kuimba!
Na hoja hapa ni kutoa tahadhali kwa watu kuacha kuwavimbisha vichwa hawa madogo kwa sababu muziki ni zaidi ya kujua kuimba bali kufahamu jinsi tasnia inavyoenda! Na kwa kufahamu hilo ndo maana nikasema there's no way unaweza kumpambanisha au kumlinganisha Aslay na Diamond simply because Aslay anajua kuimba au anafanya hit songs!!
Na hili nililiongea sana hata wakati wa Ruby na kuwaambia watu waache kumvimbisha kichwa Ruby wakati bado hana ubavu wa kusimama mwenyewe!!! Lakini na yeye alivyo stupid, mitandao ya kijamii ikamjaza na kuanza kujiona another Jide!!!
Kuhusu Barua kwa Mama, of course, msanii unatakiwa kuweka feelings zako kwenye sanaa yako na sio kutafuta sympathy for nothing. Kilio cha Diamond cha kwenye SIKOMI kina tofauti gani na kilio cha Aslay?! Tofauti kubwa ni kwamba wakati mmoja kilio chake ni dhidi ya wapenzi wake mwingine kilio chake ni dhidi ya Walimwengu!!!
Lakini mwenzake hakutaka kulia lia bila faida; akaamua kutengeneza track na hiyo track bado inakimbiza Youtube!! Social conscious songs huwa zinakamata sana hisia za watu... sasa badala ya kuandikia mashairi na kutoa ngoma ili apige hela, anaishia kuandika Instagram... wtf!
We kopo Kweli.Mboso bado mdogo kimuziki kwa aslay,,,,
We kopo Kweli.
Hapa nazungumzia vipaji vyao sio mavazi.
Acha upimbi wewe, ulijaribu kufuatilia kuona huo mjadala umeanzia wapi hadi nikafikia kuandika nilichoandika au umekurupuka tu?!maelezo mengiiii kumbe hujaelewa kitu hapo hajauliza kuhusu fitina wanazokutana nazo ao wasanii kwene maisha yao ya mziki bali kauliza nani ni mkal kwa mtazamo wako, ukiwa na evidence itapendeza zaiidi
Naona Mboso anaichukua nafasi ya Aslay.... - JamiiForumsNi miezi tisa sasa tangu utoe angalizo la muda..Muda umeanza kutoa majibu au tuendelee kusubiri?
Ahahaaah...Ni miezi tisa sasa tangu utoe angalizo la muda..Muda umeanza kutoa majibu au tuendelee kusubiri?
Ulisema kweli mkuu ambalo wengine hatukuliona toka mwanzo...ama kwa hakika wengi awaujui moto wa mbosso khan aka mshedede. dogo anaimba utafikiri bob marley kazaliwa upya. akiimba live usipotoka vipele wewe mwanaume
Hakika time tells...... aiseeee hii comment ndio maana halisi ya muda kuongea...Ahahaaaaaaaaaaah...
Naona watu wengi hawajui vizuri uwezo wa Mbosso..!
Lakini Aslay mwenyewe anajua Mbosso ni nani..!
Lakini muda utawajibu..!
We jamaa una ugonjwa wa kupenda vitu vya ajabu ajabu, mara ccm mara mboso .Ulisema kweli mkuu ambalo wengine hatukuliona toka mwanzo...
Hakika Mboso ni moto
Upo single? Nimekupenda bure Trayvess Daniel:Kushindana na mengine mengi ni mbwembwe... mwisho wa siku binafsi ningependa kuona wakifanikiwa kwenye muziki na kiuchumi... mambo ya kuwa masikini wenye majina.... cha muhimu shows za kutosha, collabo za uhakika, kukua nje ya tz na kuishi vizuri kulingana na thamani ya kipaji
hahaha mkuu naona ulitoa unabiiMuda utaongea na utatamani kufuta kauli yako.
Mpaka sasa mbosso 2 Aslay 1,mpambano unendelea dak ya 89'Ahahaaaaaaaaaaah...
Naona watu wengi hawajui vizuri uwezo wa Mbosso..!
Lakini Aslay mwenyewe anajua Mbosso ni nani..!
Lakini muda utawajibu..!
Sasa hivi Diamond kaletewa Hamonaiz.Mleta mada angalau umeleta mfananisho unaoendana!!
Sie wengine tulikuwa tunaangalia tu walivyokuwa wanajaribu kumpambanisha Aslya na Diamond baada ya kuwa wameshindwa kwa Darasa!!! Tukaonya hapa, msimvimbishe kichwa dogo akajiona tayari ameshakuwa heavy weight manake yupo bado sana kuweza kumshindanisha na mtu mwenye fans base ya kufa mtu Afrika Mashariki yote and beyond!
Watu wakamjaza... wakamjaza... nasikia hivi sasa analia lia! Mara aandike barua kwa mama... mwanamuziki unaandika barua kwa mama badala ya kutunga wimbo kwa mama kumwelezea maswahibu yako!!!
Waliojulia muziki ukubwani wanadhani muziki is all about kuingia studio na kutoa hit song! Yes, muziki upo hivyo... lakini hakuna muziki pasipo tasnia ya muziki!
Na kwa kujibu swali la mleta mada, Maromboso atampoteza Aslay kwa sababu Mboso amezungukwa na watu wanaojua muziki na tasnia ya muziki!
All in all, I cry for Beka Flavor...