Mbosso(WCB) vs Aslay, nini kitatokea?

Mbosso(WCB) vs Aslay, nini kitatokea?

Yaani Aslay ninaemjua tangia akiwa mdogo anaimba ndo hivi sasa niseme amejulia muziki ukubwani?!

Wachangiaji hapa ndio nimewaita "waliojulia muziki ukubwani" na kwamba wanadhani music is all about kuingia studio na kutoa hit song! Aidha, kwavile hawafahamu tasnia ya muziki na fitina zake, wanadhani kujua kuimba ndo kila kitu wakati muziki ni zaidi ya kujua kuimba!

Na hoja hapa ni kutoa tahadhali kwa watu kuacha kuwavimbisha vichwa hawa madogo kwa sababu muziki ni zaidi ya kujua kuimba bali kufahamu jinsi tasnia inavyoenda! Na kwa kufahamu hilo ndo maana nikasema there's no way unaweza kumpambanisha au kumlinganisha Aslay na Diamond simply because Aslay anajua kuimba au anafanya hit songs!!

Na hili nililiongea sana hata wakati wa Ruby na kuwaambia watu waache kumvimbisha kichwa Ruby wakati bado hana ubavu wa kusimama mwenyewe!!! Lakini na yeye alivyo stupid, mitandao ya kijamii ikamjaza na kuanza kujiona another Jide!!!

Kuhusu Barua kwa Mama, of course, msanii unatakiwa kuweka feelings zako kwenye sanaa yako na sio kutafuta sympathy for nothing. Kilio cha Diamond cha kwenye SIKOMI kina tofauti gani na kilio cha Aslay?! Tofauti kubwa ni kwamba wakati mmoja kilio chake ni dhidi ya wapenzi wake mwingine kilio chake ni dhidi ya Walimwengu!!!

Lakini mwenzake hakutaka kulia lia bila faida; akaamua kutengeneza track na hiyo track bado inakimbiza Youtube!! Social conscious songs huwa zinakamata sana hisia za watu... sasa badala ya kuandikia mashairi na kutoa ngoma ili apige hela, anaishia kuandika Instagram... wtf!
maelezo mengiiii kumbe hujaelewa kitu hapo hajauliza kuhusu fitina wanazokutana nazo ao wasanii kwene maisha yao ya mziki bali kauliza nani ni mkal kwa mtazamo wako, ukiwa na evidence itapendeza zaiidi
 
nichezeshe kidaruso usiku wa manane *vangaa*
nikande kipandauso tufunikane
*kanga*
nipitishe boda lauko tukakutane
*tanga*
sie pini wao putoo wasishindane watapasukaa
Mamamamama shikamoo mboso khan[emoji1430]
 
Tena kopo la mkojo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji3][emoji28][emoji3][emoji28][emoji16][emoji28][emoji16]
We kopo Kweli.
 
maelezo mengiiii kumbe hujaelewa kitu hapo hajauliza kuhusu fitina wanazokutana nazo ao wasanii kwene maisha yao ya mziki bali kauliza nani ni mkal kwa mtazamo wako, ukiwa na evidence itapendeza zaiidi
Acha upimbi wewe, ulijaribu kufuatilia kuona huo mjadala umeanzia wapi hadi nikafikia kuandika nilichoandika au umekurupuka tu?!
 
ama kwa hakika wengi awaujui moto wa mbosso khan aka mshedede. dogo anaimba utafikiri bob marley kazaliwa upya. akiimba live usipotoka vipele wewe mwanaume
Ulisema kweli mkuu ambalo wengine hatukuliona toka mwanzo...
Hakika Mboso ni moto
 
Ahahaaaaaaaaaaah...
Naona watu wengi hawajui vizuri uwezo wa Mbosso..!
Lakini Aslay mwenyewe anajua Mbosso ni nani..!
Lakini muda utawajibu..!
Hakika time tells...... aiseeee hii comment ndio maana halisi ya muda kuongea...
 
Ulisema kweli mkuu ambalo wengine hatukuliona toka mwanzo...
Hakika Mboso ni moto
We jamaa una ugonjwa wa kupenda vitu vya ajabu ajabu, mara ccm mara mboso .

Asa mboso nae msanii, hadi ashikwe mkono wakati dogo kasimama mwenyewe na anatupia mawe ya maana
 
Kushindana na mengine mengi ni mbwembwe... mwisho wa siku binafsi ningependa kuona wakifanikiwa kwenye muziki na kiuchumi... mambo ya kuwa masikini wenye majina.... cha muhimu shows za kutosha, collabo za uhakika, kukua nje ya tz na kuishi vizuri kulingana na thamani ya kipaji
Upo single? Nimekupenda bure Trayvess Daniel:
 
Huo Mchuano Unarushwa Channel Gan Mkuu Na Ni Lini Ilikusudi Nikalipie King'amuz Mapema Kabsa


Huu Mchuano Sio Wa Kukosa Aiseeee
 
Mbosso ni noma. Penzi letu baskeli kaa bomba la mbele, tia, unipige mabusu(huku ukielekeza kidole mahala pa kupigwa busu)
 
Mleta mada angalau umeleta mfananisho unaoendana!!

Sie wengine tulikuwa tunaangalia tu walivyokuwa wanajaribu kumpambanisha Aslya na Diamond baada ya kuwa wameshindwa kwa Darasa!!! Tukaonya hapa, msimvimbishe kichwa dogo akajiona tayari ameshakuwa heavy weight manake yupo bado sana kuweza kumshindanisha na mtu mwenye fans base ya kufa mtu Afrika Mashariki yote and beyond!

Watu wakamjaza... wakamjaza... nasikia hivi sasa analia lia! Mara aandike barua kwa mama... mwanamuziki unaandika barua kwa mama badala ya kutunga wimbo kwa mama kumwelezea maswahibu yako!!!

Waliojulia muziki ukubwani wanadhani muziki is all about kuingia studio na kutoa hit song! Yes, muziki upo hivyo... lakini hakuna muziki pasipo tasnia ya muziki!

Na kwa kujibu swali la mleta mada, Maromboso atampoteza Aslay kwa sababu Mboso amezungukwa na watu wanaojua muziki na tasnia ya muziki!

All in all, I cry for Beka Flavor...
Sasa hivi Diamond kaletewa Hamonaiz.
 
Back
Top Bottom