Hajachafuliwa bali ameongezewa sifa kwa watz.Kesi ikifutwa na DPP lifunguliwe shauri la madai ya fidia ya kuchafuliwa jina Mh.Mbowe na wenzake pamoja na CDM kama chama.Maana hawa CCM wametangaza sana kesi hii kwa dunia.
Wakiachwa hivi hivi wataenda na hilo bango towards 2025 kama agenda yao,baadhi ya wananchi wenzetu wamenyimwa ufahamu wa haki za binadamu na hawapatiwi taarifa sahihi dhidi ya uonevu unaoendelea hapa nchini.
wote wameachiwa huru mkuu"......wenzake na mbowe wanatumikia kufungo...."
Unajaribu kusemaje?Kwamba Mbowe katoka Kwa sababu ya pesa au kwasababu ushahidi uliotolewa ni Crap?Taifa letu limefikia pabaya kabisa maana haki hakuna kabisa.
Limekuwa ni taifa lenye kusikiliza walio na pesa na wasio na pesa au connection wanafungwa huku wenye pesa na connection wanaachiwa.
Hakuna haki hapa Tanzania kila kitu ni kunyanyasana tu uonevu.
Kama jina lake yaaniFreeman
Kwanini Gaidi anaachiwaPamoja na kuachiwa naamini Huyo Gaidi Mbowe na Genge lake watakuwa wamejifunza kuwa Amani ya Nchi ni kitu muhimu kuliko harakati zake za kipuuzi.
Sasa akome na ashike adabu vilivyo.
tutamfuatilia kila hatua hadi chooni.
Daaah,kelele zote zile kuwa Mbowe ni gaidi kumbe ni serikali dhalimu Ilikuwa inacheza siasa chafu!
DPP kasarenda kwa nani?Mataga pori umepanic kweri-kweri baada ya DPP kusurrender.
Leo itabidi utembee na pampers maana ushaanza kuharisha damu kweri-kweri [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ulikuwa hujui?Daaah,kelele zote zile kuwa Mbowe ni gaidi kumbe ni serikali dhalimu Ilikuwa inacheza siasa chafu!
Mihimili mitatu is on paper. Things are very different on the ground.Hatimae. Kweli Rais ndo sharia.
score ya kwanza anajaza ndoo nzima"Leo mke wa Mbowe kazi anayo!" - Anonymous
[emoji848]
Hiyo nayo ni sifa una vielement vya ujini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unapanic nini sasa?
Sisi ccm ndio baba zenu! Tunawafanya tutakavyo! Kama weka ndani mwaka mzima, achia huru kisha unaanza kushangilia!
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Masikini mjane wa mzee pombe umepanic kweri-kweri 🤣🤣🤣DPP kasarenda kwa nani?
[emoji23][emoji23][emoji23]Jamani alaiewaita lile jina hakukosea kabisa
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Ccm inaweza kumfanya mtu yeyete hapa nchini inachotaka!Mbowe ndio mshindi na maushingi ndio looser.
Lipi mkuu?Kuna uthibitisho wa hili?