Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

Tunaomba picha na anuani za makazi za mashahidi,mawakili wa Serikali na majaji wote waliohusika kwenye kesi hii ya mchongo ili tuwasalimie na kupata nao chakula na kuwatekenya kidogo
Kesi imeshakwisha nini sasa ?!!!
 
Mbowe amshukuru sana mh.Rais Samia.... vinginevyo angebaki ndani tu.....

#Siempre SSH🙏
#Siempre JMT🙏
 
Wamehurumiwa halafu wadai fidia? Ya nini ilhali walikutwa na kesi ya kujibu?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Uzee wako ni uzee kweli au ni uzee wa kuchezea matope?

Mbowe hajakutwa na hatia bali KESI YA KUJIBU.
Maana yake wajitetee katika hayo wanayotuhumiwa...kwasababu yaliyosemwa yalisemwa na upande mmoja...kujitetea kwao ni kuipa mahakama kupima pande zote ndipo itoe hukumu.
 
Viongozi wa dini waache kutumiwa na ccm

Wanatumika vibaya
Akina Askofu Bagonza na Mwamakula na mchungaji msigwa na shehe Ponda na shehe Katimba ni viongozi wa Dini kwa hiyo kwao ni Sawa kutumiwa na Chadema unasemaje hilo?
 
Wewe si ulikuwaga humu unatamba Mbowe wetu atakula mvua za kutosha. Sasa umebaki kujamber jamber mwamba amerudi kujumuika na familia yake. Pia mwamba amewwza kuwasaidia kutoka kina legendary na Adamo na bwire. Utukufu wa Mungu utukuzwe.

Wewe kweli kwa nafsi yako unafurahi watanzania wenzako kuteseka. Are you really okay and have conscious and concern to your fellow Tanzanians wasting their lives in jail??
Oya mkaldawisee leo weeekend tule vyombo kushangilia huu ushindi.
 
Ni kwanini anashukuriwa Rais wakati suala hili lilikuwa ni la kimahakama na sheria? Rais hapa anaingiaje?
Au ndio ile kusema yeye ndio ana overrule kila kitu mpaka haki?
Unadhani angeamua akae ndani miaka 9 Kuna mtu angemtoa?!!!
 
Waiting for the updates
MBOWE AACHIWA HURU BILA MASHARTI!

Kwa kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amesema kuwa hana nia ya kuendelea na Kesi ya Mbowe na ameiomba Mahakama ifute Mashtaka yote dhidi ya Mbowe na wenzake watatu! Jaji Joachim Tiganga aliyekuwa anasikiliza Kesi hiyo ameatoa Uamuzi wa Kufuta Kesi na wshtakiwa wote wameachiwa huru!

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
 
Samiaaaaaaaaaaa[emoji123]
Wewe na wenzio ni aina ya masadist, majitu yenye gubu, chuki na ukuwadi wa chuki.

Roho za kichawi na kishirikina.
Hamjawahi kuipa mioyo yenu nafasi ya kuwaza mema na kuwafikiria wengine...haki haimo ndani yenu.

Ni vibaraka wa shetani katika kueneza chuki na kuintateini maovu kwa wengine.


Hamna hofu ya Mungu ndani yenu.
Oneni mlivyoaibika lkn bado mnatafuta pa kujifariji.
Mbweha mzaa mapacha wewe.
 
Asante Rais wangu Mpendwa Mh. SSH. Mwenyenzi Mungu akupe hekima na ufahamu zaidi. Akupe kujawa na upendo na haki katika utendaji wako.

Mungu akupe kuisimamia nchi ktk haki pasipo kubebwa na nasty cabals zisizojali maslahi ya nchi. Kwa mwendo huu naamini Mungu atakupa nguvu ya kuwashinda wenye chama chao na kutuletea katiba na kuisimika mihimili inayosimamia haki bila kupepesa macho.

Asante sana nyote mliosimama Mwenyekiti Mbowe, naomba CCM wenzangu tuwe watulivu huku tukataka haki isimame imara ktk kila kitu hata katika chaguzi zote.
Aaaaaaaamin aaaaamin 🙏
2919120_IMG-20210908-WA0048.jpg
 
Na nyie wafuasi wa lile zimwi la pori la Burigi mumesahau mlivyogaragara wakati wa kuaga ule mzoga wake?
Mfalme Zumaridi ana wafuasi vyama vyote ikiwemo CCM sikatai wale pia waliogalagala ni wafuasi wa mfalme Zumaridi na hawa wenu wa Chadema wa leo ni waumini wa Mfalme Zumaridi staili ile ya wafuasi wa Zumaridi sihabisha.Nakazia tu kuwa na hawa wenu ni wafuasi makerubi na Maserafi waumini wa Mfalme Zumaridi Mungu chini ya jua.Staili zao zinawatambulisha wazi
 
Mbowe amshukuru sana mh.Rais Samia.... vinginevyo angebaki ndani tu.....

#Siempre SSH🙏
#Siempre JMT🙏
Mbowe na familia yake walikataa mambo ya msamaha kwani Mbowe hana hatia!Mwamba akajiandaa kujitetea na mashahidi wake,DPP akaingia mitini kuifichia aibu serikali!
Baada ya upande wa mashtaka kutaka kujua majina na anuani za mashahidi wa utetezi,nikajua hapa Wana hofu na kushushiwa kitu kizito!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dogo usiwe na hasira kiasi hiki zinazosababishwa na umasikini kwenye ukoo wako!

Kama vipi mwambie mwamba akupe hata kibarua cha kufagia pale ofisini kwake sawa?!

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app

Naona unajichekesha tu huku ukiwa umegubikwa na aibu ya mwaka! Sijawapatia picha na wale wachawi wenzako waliokuwa nao wakijitoa ufahamu kama wewe kipindi kile.
 
Back
Top Bottom