Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Kesi imeshakwisha nini sasa ?!!!Tunaomba picha na anuani za makazi za mashahidi,mawakili wa Serikali na majaji wote waliohusika kwenye kesi hii ya mchongo ili tuwasalimie na kupata nao chakula na kuwatekenya kidogo
Uzee wako ni uzee kweli au ni uzee wa kuchezea matope?Wamehurumiwa halafu wadai fidia? Ya nini ilhali walikutwa na kesi ya kujibu?
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Samiaaaaaaaaaaa💪
Akina Askofu Bagonza na Mwamakula na mchungaji msigwa na shehe Ponda na shehe Katimba ni viongozi wa Dini kwa hiyo kwao ni Sawa kutumiwa na Chadema unasemaje hilo?Viongozi wa dini waache kutumiwa na ccm
Wanatumika vibaya
Oya mkaldawisee leo weeekend tule vyombo kushangilia huu ushindi.Wewe si ulikuwaga humu unatamba Mbowe wetu atakula mvua za kutosha. Sasa umebaki kujamber jamber mwamba amerudi kujumuika na familia yake. Pia mwamba amewwza kuwasaidia kutoka kina legendary na Adamo na bwire. Utukufu wa Mungu utukuzwe.
Wewe kweli kwa nafsi yako unafurahi watanzania wenzako kuteseka. Are you really okay and have conscious and concern to your fellow Tanzanians wasting their lives in jail??
Unadhani angeamua akae ndani miaka 9 Kuna mtu angemtoa?!!!Ni kwanini anashukuriwa Rais wakati suala hili lilikuwa ni la kimahakama na sheria? Rais hapa anaingiaje?
Au ndio ile kusema yeye ndio ana overrule kila kitu mpaka haki?
😍Akina Askofu Bagonza na Mwamakula na mchungaji msigwa na shehe Ponda na shehe Katimba ni viongozi wa Dini kwa hiyo kwao ni Sawa kutumiwa na Chadema unasemaje hilo?
Mnajitekenya wenyeweAsilete kabisa habari zake za kijinga,no more sorry for him,Never
MBOWE AACHIWA HURU BILA MASHARTI!Waiting for the updates
Wewe na wenzio ni aina ya masadist, majitu yenye gubu, chuki na ukuwadi wa chuki.Samiaaaaaaaaaaa[emoji123]
Aaaaaaaamin aaaaamin 🙏Asante Rais wangu Mpendwa Mh. SSH. Mwenyenzi Mungu akupe hekima na ufahamu zaidi. Akupe kujawa na upendo na haki katika utendaji wako.
Mungu akupe kuisimamia nchi ktk haki pasipo kubebwa na nasty cabals zisizojali maslahi ya nchi. Kwa mwendo huu naamini Mungu atakupa nguvu ya kuwashinda wenye chama chao na kutuletea katiba na kuisimika mihimili inayosimamia haki bila kupepesa macho.
Asante sana nyote mliosimama Mwenyekiti Mbowe, naomba CCM wenzangu tuwe watulivu huku tukataka haki isimame imara ktk kila kitu hata katika chaguzi zote.
Mfalme Zumaridi ana wafuasi vyama vyote ikiwemo CCM sikatai wale pia waliogalagala ni wafuasi wa mfalme Zumaridi na hawa wenu wa Chadema wa leo ni waumini wa Mfalme Zumaridi staili ile ya wafuasi wa Zumaridi sihabisha.Nakazia tu kuwa na hawa wenu ni wafuasi makerubi na Maserafi waumini wa Mfalme Zumaridi Mungu chini ya jua.Staili zao zinawatambulisha waziNa nyie wafuasi wa lile zimwi la pori la Burigi mumesahau mlivyogaragara wakati wa kuaga ule mzoga wake?
Mbowe na familia yake walikataa mambo ya msamaha kwani Mbowe hana hatia!Mwamba akajiandaa kujitetea na mashahidi wake,DPP akaingia mitini kuifichia aibu serikali!Mbowe amshukuru sana mh.Rais Samia.... vinginevyo angebaki ndani tu.....
#Siempre SSH🙏
#Siempre JMT🙏
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dogo usiwe na hasira kiasi hiki zinazosababishwa na umasikini kwenye ukoo wako!
Kama vipi mwambie mwamba akupe hata kibarua cha kufagia pale ofisini kwake sawa?!
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Kama huna jibu la kisheria bora ukae kimya.Wamehurumiwa halafu wadai fidia? Ya nini ilhali walikutwa na kesi ya kujibu?
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app