MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Nampongeza Zitto Zuberi Kabwe, Tundu Lissu na viongozi wa dini kwa kumuombea msamaha kiongozi wa upinzani nchini ndugu Freeman Mbowe kwa makosa aliyoyafanya. Pia nampongeza kwa dhati Rais Samia Suluhu kwa kuamua kusikiliza ombi la Zitto Kabwe kisha kumsamehe Mbowe na wenzake watatu.
Mwisho nakipongeza sana Chama Cha Mapinduzi kwa kugundua kesi hii haikuwa na maslahi kwa chama chetu na kupitia msamaha mwenyekiti Samia atazidi kujizolea sifa na kuaminika zaidi na wananchi. Leo ni siku ya ushindi mkubwa sana kwa CCM kwa kucheza karata zake vizuri kisiasa.