Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Sisi sio magaidi Wala waasi!Si unaona mpaka unatushangaa tulivyojaliwa utu na utulivu!Ndio hulka yetu hiyo,ndio maana hadi nje ya nchi hawakuamini huo mchongo wenu wa ugaidi!Hamjielewi!
Kenya tu hapo yani selikali imfunge mtu wa upinzani kingenuka mapemaa!
Ila nyie hapa mtu kazoea jela mpaka ameombewa msamaha na maaskofu. Kisha naada ya kuachiwa mnaanza kushangilia? Huo ndio maana halisi ya uzuzu sasa.
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app