Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

Mwisho wa madai yaliyompeleka gerezani

Freeman Mbowe amekubali dili alilolikataa Nelson Mandela
 
Tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu.
 
Mahakama inasema Shauri hili lililo kuwa linawakabili Washitakiwa Khalfani Bwire, Adam Kasekwa, Mohammed Ling'wenya na Freeman Mbowe inatajwa nakiondosha Mahakamani na Washitakiwa Wanaachiwa huru bila Masharti.

 
Hiyo Ndio Join the Chain sasa kama ulikuwa huijui
Jaji: Baada ya Mahakama Kusikiliza Hoja iliyoletwa na Wakili Mwandamizi wa Serikali Kwamba Mkurugenzi wa Mashtaka hana nia ya Kuendelea na Kesi, na Upande wa Pili wakaridhia

Mahakama inasema Shauri hili lililo kuwa linawakabili Washitakiwa Khalfani Bwire, Adam Kasekwa, Mohammed Ling'wenya na Freeman Mbowe inatajwa nakiondosha Mahakamani na Washitakiwa Wanaachiwa huru bila Masharti, sababu Kuna Vielelezo vililetwa Mahakamani, naandaa Amri ya Kuviachia

Jaji: Na hivyo naelekeza Mkuu wa Magereza Kuwaachiwa Mara Moja, Leo na si Vinginevyo Natoa Amri Jaji anatoka Mahakamani Mahakama inaridima Kwa Shangwe
 
CHADEMA TULIANZA NA MUNGU NA DAIMA TUNAENDELEA NA TUTAMALIZA NA MUNGU....MUNGU NI MKUBWAAAAAAA
 
Mahakama yaamuru Mbowe na wenzake kuachiwa

Mahakama Kuu imemwachia huru M/Kiti wa CHADEMA Taifa pamoja na wenzake 3 waliokuwa wakikabiliwa na Mashtaka ya Ugaidi

Pia, Jaji kaagiza vielelezo vilivyowasilishwa Mahakamani wakati wa Kesi navyo kuachiwa
 
Allahuakbar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…