Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesi ya kijinga sn kutesa watuNi kesi ambayo Taifa limeaibishwa vibaya mno
WanaCCM waoga sana, hatojitokeza hata mmoja kumtetea Sabaya, kwanza wakikumbuka kilichompata Ndugai kila mmoja anafyataNa wewe BASHITE lazima uingie jela ..
Hapo maneno, hapa sasa tutaenda sawa, na hii ndio maana ya haki, ila ingependeza walio potosha hili Hadi kwenda kote huku nao tuwaulize ilikuwaje🤔Mahakama yaamuru Mbowe na wenzake kuachiwa
Mahakama Kuu imemwachia huru M/Kiti wa CHADEMA Taifa pamoja na wenzake 3 waliokuwa wakikabiliwa na Mashtaka ya Ugaidi
Pia, Jaji kaagiza vielelezo vilivyowasilishwa Mahakamani wakati wa Kesi navyo kuachiwa
shukuru hata katoka sasa akakae na familia sasa..Ndio shida ya kutumika!Aibu Kwa Jaji Kwa maamuzi aliyofanya wiki chache zilizopita!Watu wamebumba ushahidi wakaja kuuleta mahakamani,kila mtu akaona ni ushahidi wa mchongo na hakuna kesi!Jaji akasukumwa kuamua kuwa Wana kesi ya kujibu!Kabla hawajaanza kujitetea DPP anasema hana nia ya kuendelea na kesi maana ushahidi alionao ni crap!
Jaji unajisikiaje huko uliko?Ungeyajua haya,Bado uamuzi wako ungekuwa watuhumiwa Wana kesi ya kujibu?
jamhuri wameona Mbowe awahurumie asije kawavua nguo mahakamani wakati anajiteteaJe, ni huruma ya jamhuri?
Ingekuwa kuchukua nchi ni rahisi hivyo ingeshachukuliwa zamaniMbowe ukishamalizana na Familia yako breki ya pili nenda Chato kuhiji baada ya hapo tunachukuwa nchi 2025 !
Wale mapolisi waliotoa ushahidi wa kuchonga wafutwe kazi mara moja.
Kwa hiyo mlimkamata ili mje kumuachia?Mama ajengewe sanamu wapi
"......wenzake na mbowe wanatumikia kufungo...."Wale mapolisi waliotoa ushahidi wa kuchonga wafutwe kazi mara moja.