Mbowe acha kutetea watu wapumbavu

Msimamo wa Mbowe upo wazi kabisa anataka Katiba mpya, Tume huru ya uchaguzi, My control Mfumuko wa bei, Nchi kutokopa ovyo, Uhuru wa vyombo vya habari, Kushughulikia Deni la taifa!!!
Hizi ndio hoja alizozungumzia jana?. Mbona upuuzi?. Hakuna kiongozi kwenye hilo genge lenu, wote mule wachumia tumbo tu.
 
Kuna watu wana mihemko huku, kujiona wao ndio kila kitu Chadema...

Kumbe ni nyuma ya keyboard tu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Chama kina jengwa na wanachama hilo pekee la muhimu unapaswa kufahamu katika ulimwengu wa siasa.

Bila wanachama hakuna chama.
 
Acha ujinga kk. Mwenzako yupo kazini apo, alokwambia anatetea watu nani ye anatetea ugari wake. Sisi tunatetewa na MWENYEZI MUNGU hawa wanasiasa hawapunguzi wala kuongeza chochote katika maisha yetu.
Mwenyezi Mungu ana watetea wewe na nani ?
 
Wa Tanzania si wapumbavu ni wajamaa, nchi yoyote yenye historia ya ujamaa raia wake si wana mageuzi. Nenda Urusi, China, na Cuba.
Haufahamu historia ya usimikwaji wa ujamaa hapa duniani ni vyema ukajifunza kwanza kabla ya kuandika.

Falsafa ya kijamaa kiutawala ndio falsafa kwa asilimia kubwa iliyo simikwa katika mataifa mbalimbali kwa njia ya mageuzi yaliyo fanywa na raia/ watawaliwa kwa asilimia kubwa.

Hao Urusi, Cuba, China nenda kasome historia zao kabla ya kuandika.

Achana na ujamaa uchwara ulio anzishwa na mwalimu hapa nchini.
 
Kenge wewe!
 
Wewe unajitoa ufahamu ,aliewachagua ccm KWa asilimia 99 ni nani walijichagua KWa kuiba kura tu ,wananchi tusiwatusi bure
 
Ndio sababu hataki kuachia uongozi? Huenda ni sawa na Mrema (RIP). Huenda ana U-CCM ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…