Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajinga mpo wengi. Na kwa taarifa yako kama unategemea mbowe ataitukana serikali utasubiri sana.Mbowe ni mpumbavu tu kama wewe, wote walamba asali ya Hangaya
Hao unaowapigia chapuo walikuwa wapi wakati Mbowe anafungwa na utawala dhalimu wa dikteta uchwara magufuli?Huhitaji kupanick labda kama unafaidika binafsi na Mbowe. Ni kweli Mbowe amefanya mazuri ndani ya CDM, lakini kwa sasa amefika mwisho na anaanza kuharibu mazuri yake yote. Kwa taarifa yako Mbowe amefaidika sana na CDM kuliko alichotoa, japo ni kweli pesa zake zilisaidia sana kwenye ujenzi wa chama hapo awali.
Lakini kwa kiwango kikubwa Mbowe ameshindwa kuibadilisha Cdm hasa upande wa miundombinu kama ofisi nk. CDM sio chama cha kukosa ofisi yenye hadhi ya chama hicho, na ofisi 1 kila mkoa. Tukubaliane tu kwa sasa Mbowe ameshafikia mwisho wake. Tunakuomba umshauri kiroho safi kuwa akae pembeni maana sisi wafuasi wake hatuna imani naye. Huko CCM ndio kuna tabia ya kufumbiana macho kwa kiongozi akichemsha.
Punguza unafikiUfipa st hali ni tete
Hii watakuelewa wachache wenye akili mkuu.Mbowe ni kiongozi yuko sahihi kutoa mwelekeo wa chama chake kwa misingi ya maridhiano, angalau CDM mnaweza kuitikisa CCM ili mradi mwende nayo kisayansi siyo kimabavu hamtaiweza zaidi ya kuishia kukimbilia nje ya nchi uhamishoni.
Si mliambiwa muandamane mliishia wapi? Hii Tanzania ujasiri mnaouonesha humu jukwaani onesheni na kwenye field tutawaelewa. Mbowe ameshawajua watanzania anajua namna ya kuendesha siasa za opposition kwa sasa. Tulieni muache vihere here.Hakuna anayetaka maridhiano ya kitapeli. Kiongozi anayeendekeza maridhiano ya kitapeli hatumuelewi. CCM hawana mabavu yoyote zaidi ya kutegemea mbeleko ya vyombo vya dola. Kama Mbowe anataka maridhiano na ccm, afanye maridhiano hayo kimpango wake.
Si mliambiwa muandamane mliishia wapi? Hii Tanzania ujasiri mnaouonesha humu jukwaani onesheni na kwenye field tutawaelewa. Mbowe ameshawajua watanzania anajua namna ya kuendesha siasa za opposition kwa sasa. Tulieni muache vihere here.
Wabongo ni taifa la wapumbavu
Leo hii Mbowe alianza kutumia pesa za baba yake kujenga chama miaka ya 2000 leo ndiye anaitwa mlamba asali?
Mbowe mwaka 2005 alikodi helicopter kuzunguka nchi mzima wakati chama hakina hata ruzuku leo watu wanasema kalamba asali?
Aisee Mbowe kavunjiwa club yake kwa sababu ya kupigania wapumbavu
Account zake zikafungiwa kisa wapuuzi
Halafu mwisho akafungwa sababu ya wapuuzi na kupewa kesi ya ugaidi!! Shame
Mbowe toka mwaka 2000 mpaka leo miaka 23 kashatumia pesa kiasi gani toka mfukoni mwake?
Mbowe angekuwa mlamba asali Basi angeilamba kwenye utawala wa Magufuli ambaye aliwanunua wabunge 19, Kafulila na wenzie wote walipewa ubunge na uwaziri!! Lakini pamoja na kuwekewa dau la billion 5 na Magufuli akiuze chama ili aweke mwenyekiti mamluki kama ilivyo kwa vyama vyote vingine vya upinzani alikataa na kuendelea kupigania wapumbavu.
Msimamo wa Mbowe upo wazi kabisa anataka Katiba mpya, Tume huru ya uchaguzi, My control Mfumuko wa bei, Nchi kutokopa ovyo, Uhuru wa vyombo vya habari, Kushughulikia Deni la taifa!!!
Wabongo wanataka siasa za majitaka za kutukana siasa hizo hazina nafasi Dunia nzima siasa za Sasa ni hoja !!!
Pia watanzania wengi wameanza kufatilia siasa za upinzania miaka ya utawala wa Magufuli.
Nchi hii ina watu wapumbavu Sana nashauri Mbowe aachane na kutetea wapuuzi
Wakuu habari!
Mbowe kawatolea mapovu wenzie huko hata hawaelewi.
Nimecheka sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Soma mwenyewe hapa 👇
Tutaona mwisho wenuVio
Viongozi Wenzake wamekataa ujinga wake. Wameongelea issues za wananchi, yeye akadhani watamsifia mama Samia. Lissu ndio atasafisha adhari za hotuba ya Jana.
Hebu toa ushauri wewe unataka nini kifanyike?Hakuna anayetaka maridhiano ya kitapeli. Kiongozi anayeendekeza maridhiano ya kitapeli hatumuelewi. CCM hawana mabavu yoyote zaidi ya kutegemea mbeleko ya vyombo vya dola. Kama Mbowe anataka maridhiano na ccm, afanye maridhiano hayo kimpango wake.
Unaujua uhalisia wa kilichotokea pale Furahisha,uzuri nilikuwepo Live kwakuwa mimi nipo hapa hapa Mwanza. Endelea kulumbana na Makamanda wenzio huku ukimtolea povu M/Kiti.Hii ndiyo Mwanza na nilikutahadharisha haitowaacheni salama.Vipi kuna nani alifunua mdomo wake kutamka hata neno Sukuma Gang?
Tutaona mwisho wenu
Mwandishi unachomaanisha mbowe asipiganie wapumbavu ni kwa sababu ya mapokezi kiduchu leo?
Kwanza mjinga ni wewe na ukoo wako!!
Kingine tambua mbowe kainvest kweny chama ndo maana anakula Bata hata CCM wanajua CDM ni ya Mbowe nyie wengine wafuata mkumbo wakitaka maridhiano wanafanya na Mbowe sio nyie dagaa.
Unajua lowasa alilipa sh ngapi kwa Mbowe ili agombee ? Na nafasi alipata ni kwamba nyie hamna sauti chama ni Mali ya Mbowe na ananufaika nacho ila sio kutetea wabongo.
Magufuli hakutaka kuwa nae karibu coz hapendi shobo hata baadhi ya wanaccm wenzie pia aliwatema ..Anachotaka jamaa yenu kwamba asikilizwe sana kwamba sasa anapoenda mpaka ikulu ila kiukweli Cdm ni Mali ya Mbowe ni biashara yake.
Unadhani mimi ni wa siasa nyepesi za usukuma nansukuma gang boss? Tazama hii id vizuri, kisha waulize wenzio hapo Lumumba watakupa maelezo ya kutosha.