Mbowe acha kutetea watu wapumbavu

Mbowe acha kutetea watu wapumbavu

Unaujua uhalisia wa kilichotokea pale Furahisha,uzuri nilikuwepo Live kwakuwa mimi nipo hapa hapa Mwanza. Endelea kulumbana na Makamanda wenzio huku ukimtolea povu M/Kiti.Hii ndiyo Mwanza na nilikutahadharisha haitowaacheni salama.Vipi kuna nani alifunua mdomo wake kutamka hata neno Sukuma Gang?
Hawawezi tamka hadharani,hayo ni maneno ya humu mtandaoni yaani slung za humu humu.
 
Unadhani mimi ni wa siasa nyepesi za usukuma nansukuma gang boss? Tazama hii id vizuri, kisha waulize wenzio hapo Lumumba watakupa maelezo ya kutosha.
Wewe ni nani bhana? Bhwana matusi siyo?
 
Yaani hapa ndio utajua umeingia penyewe, lazima ukae babu. Kama hata wasukuma wamegoma kufuata maagizo yenu kundi haramu la sukuma gang, basi utajua hujui.
Sasa mzee issue ya wasukuma wapi na wapi kuhusu wewe kuwa timu heche. Ona sasa ulipo ibukia. Wasuka wapo zaidi ya 20m.

Nimekuuliza Heche ndiye anafaa kuwa mwenyekiti chadema?
 
Unaujua uhalisia wa kilichotokea pale Furahisha,uzuri nilikuwepo Live kwakuwa mimi nipo hapa hapa Mwanza. Endelea kulumbana na Makamanda wenzio huku ukimtolea povu M/Kiti.Hii ndiyo Mwanza na nilikutahadharisha haitowaacheni salama.Vipi kuna nani alifunua mdomo wake kutamka hata neno Sukuma Gang?

Nimecheka kwa nguvu, kufunua mdomo ili iwe nini, ulisema wasukuma hawatakuja. Sasa walitokea wapi? Watu wameongea walichotaka. Kama kuna ulichotaka waongee ungeomba mic upewe utoe hayo maagizo.
 
Kwanza mjinga ni wewe na ukoo wako!!

Kingine tambua mbowe kainvest kweny chama ndo maana anakula Bata hata CCM wanajua CDM ni ya Mbowe nyie wengine wafuata mkumbo wakitaka maridhiano wanafanya na Mbowe sio nyie dagaa.

Unajua lowasa alilipa sh ngapi kwa Mbowe ili agombee ? Na nafasi alipata ni kwamba nyie hamna sauti chama ni Mali ya Mbowe na ananufaika nacho ila sio kutetea wabongo.

Magufuli hakutaka kuwa nae karibu coz hapendi shobo hata baadhi ya wanaccm wenzie pia aliwatema ..Anachotaka jamaa yenu kwamba asikilizwe sana kwamba sasa anapoenda mpaka ikulu ila kiukweli Cdm ni Mali ya Mbowe ni biashara yake.
 
Sasa mzee issue ya wasukuma wapi na wapi kuhusu wewe kuwa timu heche. Ona sasa ulipo ibukia. Wasuka wapo zaidi ya 20m.

Nimekuuliza Heche ndiye anafaa kuwa mwenyekiti chadema?

Acha wasukuma kuwa zaidi ya 20m, hata wangekuwa 200m who cares. Hilo la Heche halina mjadala boss, na yeye akizingua tunamdiss tu. Inshort haturembi.
 
Hawawezi tamka hadharani,hayo ni maneno ya humu mtandaoni yaani slung za humu humu.
Hawa vijana wa CDM wakiweka bundles zao na wakaflood comments hapa huwa wanajiona wamemaliza kila kitu.Ngoja tuwaache watoane macho kwa hotuba ya Mbowe kwanza kabla hatujaanza kuwahoji maswala ya msingi ya mkutano wao wa leo.
 
Nimecheka kwa nguvu, kufunua mdomo ili iwe nini, ulisema wasukuma hawatakuja. Sasa walitokea wapi? Watu wameongea walichotaka. Kama kuna ulichotaka waongee ungeomba mic upewe utoe hayo maagizo.
Huwezj cheka kwa nguvu wakati unatoleana povu na wenzio kwa hotuba ya Mwenyekiti.Malizana kwanza na hao kisha urudi hapa tuendeleze mjadala.
 
Acha wasukuma kuwa zaidi ya 20m, hata wangekuwa 200m who cares. Hilo la Heche halina mjadala boss, na yeye akizingua tunamdiss tu. Inshort haturembi.
Kunywa maji ya baridi kwanza utulize munkali.Mwenyekiti kakudisappoint na ile hotuba yake[emoji2368]
 
Kunywa maji ya baridi kwanza utulize munkali.Mwenyekiti kakudisappoint na ile hotuba yake[emoji2368]

Uko upande wa mwenyekiti au wasukuma? Nijue uko kwenye ipi kwanza.
 
Mbowe ni muhuni tu alikuwa mbali na magufuli kwasababu alikuwa anatumiwa na wazungu kuharibu nchi yetu

Mbowe na lissu ni wasaliti, usaliti hauna kikomo ni swala la muda tu
 
Wewe ndo mpumbavu. Mbowe amekuwa akijilipa kwa kila senti aliyoikopesha CHADEMA. Kuna kipindi alikuwa anaidai CHADEMA zaidi ya milioni 500 zikiwa ni gharama mbalimbali za uchaguzi. Jiulize ruzuku zimekuwa zikienda wapi kama hata ofisi haina? CHADEMA ni kama mali binafsi ya Mbowe. Manufaa anayopata kupitia CHADEMA ni makubwa na hakuna bilioni zake alizopoteza. Kitu pekee ambacho ninamsifu Mbowe ni kuweza kuhimili vishindo vya mwendazake. Uvumilivu na ujasiri wake umemsaidia sana na sasa hivi analamba zake tu asali.
 
Uko upande wa mwenyekiti au wasukuma? Nijue uko kwenye ipi kwanza.
Nipo upande wa Wasukuma,baada ya Mkutano naungana na Mbowe pia.Haya povu ruksa unaanzia wapi kwa Wasukuma au kwa Freeman?
 
Hakuna watu 99% walioichagua CCM. 2020 hakukuwa na uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Kama umishiwa na utetezi wa hoja, ni bora ukae kimya kuliko kuleta upotoshaji usio na tija yoyote.
Yaaani MKUTANO MUMOJA tuuuu mumeanza kubalanguanaa, duuuuuuh. Mnachekesha mjuee
 
Back
Top Bottom