Pre GE2025 Mbowe acha utoto, wanachama wamekufuata nyumbani kwako ghafla lakini wamekuta hema, viti, soda na maji, acheni utani jamani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbowe kawaandalia soda, juice na maji wana ccm wenzake.
 
pili bodaboda tangu jana walikuwa wanahamasishwa kuna mafuta na posho ya bure kwenda nyumbani kwa Mbowe, aliyenfanya kazi hiyo ni mwenyekiti wa bodaboda mikocheni, tatu, kwenye nyumba ya mbowe kuna soda na maji kwa wageni.
Inaashiria wamefuata vimiminika tajwa na posho
 
Mambo ya kiccm hayo. Mwenzake akachukua fomu Jana Leo kairudisha bila mbwembwe Wala kelele

No time to waste on childish ccm style politics
 
Mbowe ni DJ kwa asilia, kwahiyo usanii uko kwenye damu yake.
 
Ume sikiliza au ameamka usingizini ukaa amua kuandika
 
Natamani kuona kura halali. # Chadema ithibitishe demokrasia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…