Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mshana wewe upo upande gani?Youtube
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshana wewe upo upande gani?Youtube
Mbowe kawaandalia soda, juice na maji wana ccm wenzake.Vyombo vya habari vinaripoti kuwa wanachama wamevamia nyumbani kwa mBOWE kumsihi achukue fomu za kugombea uenyekiti wa chama hicho ili akamkabili msanii Tundu Lissu.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Wafuasi CHADEMA wavamia nyumbani kwa Mbowe kumlazimisha achukue Fomu ya kugombea Uenyekiti
Yapo mambo ya kujiuliza na kufikirisha sana, kwanza huko nyumbani kwake Mbowe Mikocheni kumeshaandaliwa hema likiwa tayari na viti, maspika na podium ya kuongea, pili bodaboda tangu jana walikuwa wanahamasishwa kuna mafuta na posho ya bure kwenda nyumbani kwa Mbowe, aliyenfanya kazi hiyo ni mwenyekiti wa bodaboda mikocheni, tatu, kwenye nyumba ya mbowe kuna soda na maji kwa wageni.
Hilo ni jambo la kushtukiza kweli? Shame on you
Inaashiria wamefuata vimiminika tajwa na poshopili bodaboda tangu jana walikuwa wanahamasishwa kuna mafuta na posho ya bure kwenda nyumbani kwa Mbowe, aliyenfanya kazi hiyo ni mwenyekiti wa bodaboda mikocheni, tatu, kwenye nyumba ya mbowe kuna soda na maji kwa wageni.
Mambo ya kiccm hayo. Mwenzake akachukua fomu Jana Leo kairudisha bila mbwembwe Wala keleleVyombo vya habari vinaripoti kuwa wanachama wamevamia nyumbani kwa mBOWE kumsihi achukue fomu za kugombea uenyekiti wa chama hicho ili akamkabili msanii Tundu Lissu.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Wafuasi CHADEMA wavamia nyumbani kwa Mbowe kumlazimisha achukue Fomu ya kugombea Uenyekiti
Yapo mambo ya kujiuliza na kufikirisha sana, kwanza huko nyumbani kwake Mbowe Mikocheni kumeshaandaliwa hema likiwa tayari na viti, maspika na podium ya kuongea, pili bodaboda tangu jana walikuwa wanahamasishwa kuna mafuta na posho ya bure kwenda nyumbani kwa Mbowe, aliyenfanya kazi hiyo ni mwenyekiti wa bodaboda mikocheni, tatu, kwenye nyumba ya mbowe kuna soda na maji kwa wageni.
Hilo ni jambo la kushtukiza kweli? Shame on you
Ume sikiliza au ameamka usingizini ukaa amua kuandikaVyombo vya habari vinaripoti kuwa wanachama wamevamia nyumbani kwa mBOWE kumsihi achukue fomu za kugombea uenyekiti wa chama hicho ili akamkabili msanii Tundu Lissu.