Mbowe achana na siasa kulinda heshima yako

Mbowe achana na siasa kulinda heshima yako

Makupa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
6,822
Reaction score
4,034
Hakuna ubishi kuwa umejitahidi kujenga chama chako kwa kadri ya uwezo wako kwa miaka zaidi ya ishirini ambayo ulikuwa Mwenyekiti.

Hata hivyo kwa jinsi mchakatao wa kampeni ulivyokuwa ikiwemo shutuma za ajabu ajabu toka kwa aliekuwa Makamu Mwenyekiti wako.

Kwa maoni yangu, ni vyema ukaachana na siasa kwa wakati muda, ukizangatia kuwa manifesto ya aliekuwa msaidizi wako ilikuwa inaonyesha wazi kuwa kulikuwepo na ombwe kubwa sana la uozongozi hapo CDM (incompetance).
 
Back
Top Bottom