Point ipo hapa πIkumbukwe 2013 Shujaa Magufuli hakuwa Rais
Aliyewakomesheni Vyeti FekiShujaa gani
Yule kafia mzena kama kuku
Labda unavyo wewe. Binafsi sina vyeti feki. Baada ya kuondoa vyeti feki mbona alishindwa kuongeza mishaharaAliyewakomesheni Vyeti Feki
Mtu damu yake iliyomwagika na kunusirika kifo halafu akafanywa tambara la deki ni dkt slaa na mkewe mushumbuzi mpaka leo ushahidi upo hizo paukwa pakawa za Mbowe akapigie wajukuu zake!Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe ameueleza Uongozi wa Kanda ya Kaskazini namna alivyonusurika kuuwawa June 2013 wakati wa Serikali ya awamu ya 4
Mbowe amesema Wasiojulikana walipanga kuripua Fuso kwa Bomu ifikapo Saa 12 wakati wa kufunga Mkutano na Wangewaua Viongozi Wote wa Chadema Taifa na Kanda
Lakini Mungu bariki Saa 11:28 Wananchi waliniomba nishuke kwenye Fuso Ili wanichangie Fedha za Kuwapa Mawakala kwa ajili ya Maji maana kulikuwa na Chaguzi za Madiwani so kitendo cha kushuka ndio kilituokoa.na Vifo
Mbowe amesema tukio lile linamuumiza hadi leo kwa sababu kuna Akina mama na watoto waliuliwa
Credit: Twaha Mwaipaya X
Ikumbukwe 2013 Shujaa Magufuli hakuwa Rais
Omba KAZI DP WorldLabda unavyo wewe. Binafsi sina vyeti feki. Baada ya kuondoa vyeti feki mbona alishindwa kuongeza mishahara
Hovyo wewe
Ikumbukwe jiwe ndiye aliyempiga risasi Lisu, aliwaua watu wengi sana wakiwemo waliookotwa ufukweni kwenye viroba, Ben Sa8 na Azory Gwanda, n.k. Pia akipora mali za wafanyabiashara, aliteka watu , na mengine mengi.Ikumbukwe 2013 Shujaa Magufuli hakuwa Rais
Mbowe hajazungumzia hao Bwashee πππ₯Ikumbukwe jiwe ndiye aliyempiga risasi Lisu, aliwaua watu wengi sana wakiwemo waliookotwa ufukweni kwenye viroba, Ben Sa8 na Azory Gwanda, n.k. Pia akipora mali za wafanyabiashara, aliteka watu , na mengine mengi.
In short, jiwe hakuwa rais wa nchi hii.
Na gongo nayo ya tuisheni umeinywea huku na wewe.Makonyagi kwenye ubora wake
Kwamba mishahara unaongeza tu kama unagawa uji wa kwenye hitma.? Hata usipo perfom..au kwa sababu hizo hela hazina mwenyewe?Labda unavyo wewe. Binafsi sina vyeti feki. Baada ya kuondoa vyeti feki mbona alishindwa kuongeza mishahara
Hovyo wewe
Watu wengi ambao hufeli kidato cha nne kwa kupata zero huweweseka na kupata kichaa kama kile cha madogi na kuanza kuwaza mambo mengi yasiyokuwepo hiyo inaitwa ibilisi jini maimuna, illusions na hallucinations! Ni mental health problem!Aisee, jamaa kakwepa mishale mingi
Live long Mbowe
2013 mwendazake hakuwa raisKwa hiyo alitaka kuuliwa na nani? Au mwendazake?
Maboya hao hapo hawawezi kumtaja Kikwete ingekuwa miaka ya Utawala wake makelele ya kutosha!Kwa hiyo alitaka kuuliwa na nani? Au mwendazake?
Funny Fact tukio hili halikufanywa na ccm wala chadema pia sio serikaliMwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe ameueleza Uongozi wa Kanda ya Kaskazini namna alivyonusurika kuuwawa June 2013 wakati wa Serikali ya awamu ya 4
Mbowe amesema Wasiojulikana walipanga kuripua Fuso kwa Bomu ifikapo Saa 12 wakati wa kufunga Mkutano na Wangewaua Viongozi Wote wa Chadema Taifa na Kanda
Lakini Mungu bariki Saa 11:28 Wananchi waliniomba nishuke kwenye Fuso Ili wanichangie Fedha za Kuwapa Mawakala kwa ajili ya Maji maana kulikuwa na Chaguzi za Madiwani so kitendo cha kushuka ndio kilituokoa.na Vifo
Mbowe amesema tukio lile linamuumiza hadi leo kwa sababu kuna Akina mama na watoto waliuliwa
Credit: Twaha Mwaipaya X
Ikumbukwe 2013 Shujaa Magufuli hakuwa Rais
Kuongeza watumishi mishahara ni takwa la kisheria. Ukiona kiongozi mkuu ana kataa kufanya hivyo kwa kisingizio cha kujenga sijui matundu ya choo sijui nn huyo anavunja sheria adhabu yake ni kaburKwamba mishahara unaongeza tu kama unagawa uji wa kwenye hitma.? Hata usipo perfom..au kwa sababu hizo hela hazina mwenyewe?