Pre GE2025 Mbowe aelezea alivyonusurika kuuwawa June 2013 Soweto Arusha

Pre GE2025 Mbowe aelezea alivyonusurika kuuwawa June 2013 Soweto Arusha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
..watu " siasa kali " walikuwa na tatizo gani na Cdm mpaka waamue kuwashambulia?
Chama cha ''makafiri''. Unakumbuka wale masheikh waliokaa sana rumande mpaka na wametoka juzi juzi? Unakumbuka pia kuna bomu lilirushwa kwenye kanisa Katoliki Arusha? Kulikuwa na ka-kikundi ka kuleta chokochoko.
 
Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe ameueleza Uongozi wa Kanda ya Kaskazini namna alivyonusurika kuuwawa June 2013 wakati wa Serikali ya awamu ya 4

Mbowe amesema Wasiojulikana walipanga kuripua Fuso kwa Bomu ifikapo Saa 12 wakati wa kufunga Mkutano na Wangewaua Viongozi Wote wa Chadema Taifa na Kanda

Lakini Mungu bariki Saa 11:28 Wananchi waliniomba nishuke kwenye Fuso Ili wanichangie Fedha za Kuwapa Mawakala kwa ajili ya Maji maana kulikuwa na Chaguzi za Madiwani so kitendo cha kushuka ndio kilituokoa.na Vifo

Mbowe amesema tukio lile linamuumiza hadi leo kwa sababu kuna Akina mama na watoto waliuliwa

Credit: Twaha Mwaipaya X

Ikumbukwe 2013 Shujaa Magufuli hakuwa Rais
Hapo sasa !
Panapo ukweli uongo hujitenga !
RIP JPM ! Kumbe yeye hakuwa muasisi wa matukio ! 🙏🙏
 
Kwa hiyo serikali inamuogopa,afanye jambo kubwa kama hilo na serikali isimguse kabisa,hilo ni tusi kwa serikali ya CCM.
Matukio mengi ya uovu uliopitiliza ulianzia awamu ya nne !
Maana kipindi hicho CCM ilikuwa imepoteza mvuto kwa watu completely !
Hadi kufikia mtu akionekana amevaa sare za Chama alikuwa akizomewa !
Au nasema uongo ndugu zangu ???!!
 
Ikumbukwe jiwe ndiye aliyempiga risasi Lisu, aliwaua watu wengi sana wakiwemo waliookotwa ufukweni kwenye viroba, Ben Sa8 na Azory Gwanda, n.k. Pia akipora mali za wafanyabiashara, aliteka watu , na mengine mengi.

In short, jiwe hakuwa rais wa nchi hii.
Na Baba yako alitekwa na mabaunsa yenye vilainishi au siyo?

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom