Pre GE2025 Mbowe aelezea alivyonusurika kuuwawa June 2013 Soweto Arusha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Acha siasa za maji taka ,hivi kweli ni hadi awepo kwenye mikutano ndi auwawe? Huenda lile tukio lilikuwa staged na mzee mbowe mwenyewe aisee,eti risasi zilimkwepa ?🙆‍♂️
 
Kipindi hicho kulikuwa na ''siasa kali'' maeneo ya Arusha na Mwanza. Ndiyo walihusika. Siyo serikali.
 
Magufuli mtu mbaya sana [emoji53][emoji53][emoji53] kweli watz hatuna akili ndiyo maana tunaongozwa na makahaba hadi majumbani kwetu
 
Kinywaji cha Wanaume [emoji209]
NAONA RIWAYA INA ENDELEA : HARAKATI ZA MBOWE MRAMBA ASALI NA CHUPA YAKE YA KONYAGI ...
Kama konyagi ni kinywaji cha wanaume kumbuka asali ni kinywaji cha machwawa wa samia ...na mbowe anachupa ya konyagi mfuko wa kushoto na mfuko wa kulia anachupa la asali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…