Pre GE2025 Mbowe aelezea alivyonusurika kuuwawa June 2013 Soweto Arusha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
..watu " siasa kali " walikuwa na tatizo gani na Cdm mpaka waamue kuwashambulia?
Chama cha ''makafiri''. Unakumbuka wale masheikh waliokaa sana rumande mpaka na wametoka juzi juzi? Unakumbuka pia kuna bomu lilirushwa kwenye kanisa Katoliki Arusha? Kulikuwa na ka-kikundi ka kuleta chokochoko.
 
Hapo sasa !
Panapo ukweli uongo hujitenga !
RIP JPM ! Kumbe yeye hakuwa muasisi wa matukio ! 🙏🙏
 
Kwa hiyo serikali inamuogopa,afanye jambo kubwa kama hilo na serikali isimguse kabisa,hilo ni tusi kwa serikali ya CCM.
Matukio mengi ya uovu uliopitiliza ulianzia awamu ya nne !
Maana kipindi hicho CCM ilikuwa imepoteza mvuto kwa watu completely !
Hadi kufikia mtu akionekana amevaa sare za Chama alikuwa akizomewa !
Au nasema uongo ndugu zangu ???!!
 
Na Baba yako alitekwa na mabaunsa yenye vilainishi au siyo?

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…