The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,275
usiwe haambiliki... na naomba uchukue sekunde kusoma post zangu, au muandikie MS atakuambia... he went even offiline kupambana na mimi
Lakini hatuwezi kuwa na blind love na kushangilia hata mtu akijisaidia sebuleni eti mtemi... hayo mambo ni ya kitoto
Mbowe made a huge mistake, he is carrying Dr Slaa kama partner kwenye siasa... unadhani image gani inakuja??
tuwe wakweli, anapokosea mtu aambiwe
vijana wa green guard hawana akili na Fuya ameshashindwa, walicofanya hakina maana... lakini mbowe ameonyesha upuuzi mkubwa kama mwenyekiti wa chama kushindwa kumalizia mkutano na kufuata utaratibu wa sheria (ambao yeye kwa wilaya ya hai ana priviledge hiyo kubwa tu na anaijua) kumtoa kijana wake
Kama tunalaani violence, basi tuifanye kwa vitendo... kwa kwenda kufanya mambo ya tambaza nimesikitika sana
siamini mtu mwenye staha anaweza kuvunja mkutano kwenda kuokoa kwa staili ya kibohehe, mringa au tambaza
angetuma vijana
Nimesikitishwa na green guards lakini nimesikitishwa zaidi na mbowe
ukifanya ya kipumbavu na mpumbavu, watu hawatajua tofauti yenu
Jana akiwa B'mulo kwenye mkutano wa kampeni Dr. Slaa aliwashauri Chadema kuwa 'ukipigwa kofi usilipize bali geuza na upande wa pili'. Hawa wenzetu wa Hai hawakumsikia?
Kama chama chochote kikifanya mafunzo kama waliyofanya CCM utaona watakanyo kamatwa lakini kwa kuwa ni CCM serikali haioni tatizo kuna siku walipiga mwandishi wa habari kule shinyanga walimuumiza vibaya sana hilo hawakuliona lakini kama kutedo hicho kingefanywa na Chadema basi hata wadishi wa habari wange weza kuungana kuizilia kuandika taarifa za Chadema, wao waendelee kumwanga damu ya watanzania wakiamini mafunzo yao ya kijeshi yatawatishi watanzania....Chadema mafunzo yetu tuyaelekeze jinsi ya kuzuia kuibiwa kura tarehe 31-10-2010CHADEMA waombe kibali cha kutrain green guard wao na wenyewe. Wauambie umma namna ambavyo wanaumizwa na waeleze nia yao ya kujilinda kwa njia ya kutrain walinzi wao. Kwa kuwa CCM imetrain 5000 CHADEMA wanaweza kutrain hata 10000, wiki mbili hizi zinatosha kabisa kutoa mafunzo kamili kujiandaa na vita ya tar 1/11 yatakapotangazwa matokeo. Vinginevyo CCM watatumaliza na hatutakuwa na namna ya kujitetea.
Huna haja ya kuandika kirefu kiasi hicho. Nani kakwambia mie ni CCM? Ni lazima tujifunze kuwa objective. Sio wakifanya CCM si sawa ila CHADEMA sawa. Nchi haiwezi kuendelea kwa mentality hii. Ndio maana nilikwambia soma btn the lines uone km kuna mtu katetewa. Kuna kipindi ushabiki wa CHAMA uwe unawekwa kando kiasi. Hii haina tofauti na kujichukulia hatua mkononi kwahiyo tunasahau utawala wa sheria huku tukiwa wahubiri wakuu wa hali hiyo.Ulichotoa hapo, na walichotoa wana ccm (kadogoo na Anfaal) vina tofauti gani? nimetumia neno spin za wanaccm, kama hii inakufanya wewe mwanaccm so be it.
Ngoja nikukumbushe jambo moja, miaka fulani iliyopita wakati mkapa akiwa preziii. CUF walifanya mkutano kigamboni (au temeke) kama sikosei. Polisi kama ilivyokuwa kawaida yao wakati wa uongozi wa mkapa, wakaenda wakatoa kipigo cha nguvu sana. Watu wengi sana waliumizwa na kupelekwa polisi. I know this kwa sababu nilikuwepo kwenye mkutano huo.
Mkutano uliofuatia, CUF wakampeleka Lipumba akasaidie kwenye kampeni. Polisi kama kawaida yao, wakatoa dozi kwa wafuasi wa CUF (this time wakampiga Lipumba). Lipumba akaumizwa mkono kutokana na kipigo. Kwa kuonesha solidarity kwa wanachama wake, Lipumba "akalizimisha" kukamatwa pia na polisi. Vyombo vya habari vikachukua picha... the next thing we know, picha zinaoneshwa kwenye TV na kwenye magazeti Lipumba akiwa kafungwa bandage akielekea kwenye tinga tinga la polisi.
Hiyo publicity ilikuwa too much for Mkapa to handle. Since then, polisi walianza kuwa na adabu kwenye mikutano ya CUF. Kama Lipumba angeingia mtini na kuacha wanachama wake, nadhani risasi za moto zingetumika kuwafagilia mbali.
Katika kampeni za upinzani, polisi wanatoa "heshima kidogo" kwa viongozi wa kitaifa. Wanachama wengine ni sisimizi tu wasio na thamani yoyote ile.
Mbowe alitaka kumwaga damu watu? huyu jamaa ni mtu hatari sana hasa kwenye maswala ya maslahi yake anaweza mtoa uhai wa mtu...
Huyu hawezi pata ubunge hai, anakubalika kwao tu Machame pekee ndiko anakokubalika,swala la ubunge kwa kipindi hiki asahau kwa kweli ..
Huna haja ya kuandika kirefu kiasi hicho. Nani kakwambia mie ni CCM? Ni lazima tujifunze kuwa objective. Sio wakifanya CCM si sawa ila CHADEMA sawa. Nchi haiwezi kuendelea kwa mentality hii. Ndio maana nilikwambia soma btn the lines uone km kuna mtu katetewa. Kuna kipindi ushabiki wa CHAMA uwe unawekwa kando kiasi. Hii haina tofauti na kujichukulia hatua mkononi kwahiyo tunasahau utawala wa sheria huku tukiwa wahubiri wakuu wa hali hiyo.
Njoo na evidence. Pitia posts zangu vyema na ikiwezakana bandika hapa. Pitia majukwaa yoote itakusaidia zaidi.Wewe ni ccm mkuu (kwa mtizamo wangu). Sidhani kama unanizuia kuandika hivi.
Mbowe alitaka kumwaga damu watu? huyu jamaa ni mtu hatari sana hasa kwenye maswala ya maslahi yake anaweza mtoa uhai wa mtu...
Huyu hawezi pata ubunge hai, anakubalika kwao tu Machame pekee ndiko anakokubalika,swala la ubunge kwa kipindi hiki asahau kwa kweli ..
Mbowe alitaka kumwaga damu watu? huyu jamaa ni mtu hatari sana hasa kwenye maswala ya maslahi yake anaweza mtoa uhai wa mtu...
Huyu hawezi pata ubunge hai, anakubalika kwao tu Machame pekee ndiko anakokubalika,swala la ubunge kwa kipindi hiki asahau kwa kweli ..
Kamende, kitendo tuu cha Kikosi cha ulinzi cha CHADEMA kilimdhibiti huyo kijana na kumhifadhi katika gari moja kwa lengo la kupisha mkutano uendelee hii abduction na illegal deteintion, hicho kikosi cha ulinzi cha Chadema kilipata wapi uwezo huo?.
Kumdhibiti mfanya fujo its a right move hatua iliyotakiwa kufuata ni kumkabidhi kwenye vyombo husika na sio kumhifadhi katika gari, suppose anything fatal ingemtokea huyo kijana, Chadema ingeweka wapi sura yake?.
Kumbukeni mnagombea kisu chenye makali kuwili huku wenzenu wameshika kwenye mpini!.
Njoo na evidence. Pitia posts zangu vyema na ikiwezakana bandika hapa. Pitia majukwaa yoote itakusaidia zaidi.
Umeweka post makini sana.
Ni kweli Green Guards wamefanya uhalifu lakini MBOWE naye kama alifight back basi imetia doa sana demokrasia nchini.
Sasa hapo nani atamlaumu mwenzake? Ina maana kama siasa za CCM ni kuteka nyara wapinzani wao basi tuwaachie vyombo vya dola wawanyooshe na siyo jukumu letu kuchukua sheria mkononi.
Mungu ibariki Tanzania
Kura zetu kwa CHADEMA
Slaa for president