Elections 2010 Mbowe Afanyiwa Fujo Kubwa Hai

Elections 2010 Mbowe Afanyiwa Fujo Kubwa Hai

CCM wasema ushindi ni lazima.

Wanalazimisha ushindi bila kujali matakwa ya wapiga kura?

Watajali kweli matakwa ya wapiga kura wakiwa madarakani? Tafakari
 
Jana akiwa B'mulo kwenye mkutano wa kampeni Dr. Slaa aliwashauri Chadema kuwa 'ukipigwa kofi usilipize bali geuza na upande wa pili'. Hawa wenzetu wa Hai hawakumsikia?
 
usiwe haambiliki... na naomba uchukue sekunde kusoma post zangu, au muandikie MS atakuambia... he went even offiline kupambana na mimi

Lakini hatuwezi kuwa na blind love na kushangilia hata mtu akijisaidia sebuleni eti mtemi... hayo mambo ni ya kitoto

Mbowe made a huge mistake, he is carrying Dr Slaa kama partner kwenye siasa... unadhani image gani inakuja??

tuwe wakweli, anapokosea mtu aambiwe

Ulichotoa hapo, na walichotoa wana ccm (kadogoo na Anfaal) vina tofauti gani? nimetumia neno spin za wanaccm, kama hii inakufanya wewe mwanaccm so be it.

Ngoja nikukumbushe jambo moja, miaka fulani iliyopita wakati mkapa akiwa preziii. CUF walifanya mkutano kigamboni (au temeke) kama sikosei. Polisi kama ilivyokuwa kawaida yao wakati wa uongozi wa mkapa, wakaenda wakatoa kipigo cha nguvu sana. Watu wengi sana waliumizwa na kupelekwa polisi. I know this kwa sababu nilikuwepo kwenye mkutano huo.

Mkutano uliofuatia, CUF wakampeleka Lipumba akasaidie kwenye kampeni. Polisi kama kawaida yao, wakatoa dozi kwa wafuasi wa CUF (this time wakampiga Lipumba). Lipumba akaumizwa mkono kutokana na kipigo. Kwa kuonesha solidarity kwa wanachama wake, Lipumba "akalizimisha" kukamatwa pia na polisi. Vyombo vya habari vikachukua picha... the next thing we know, picha zinaoneshwa kwenye TV na kwenye magazeti Lipumba akiwa kafungwa bandage akielekea kwenye tinga tinga la polisi.

Hiyo publicity ilikuwa too much for Mkapa to handle. Since then, polisi walianza kuwa na adabu kwenye mikutano ya CUF. Kama Lipumba angeingia mtini na kuacha wanachama wake, nadhani risasi za moto zingetumika kuwafagilia mbali.

Katika kampeni za upinzani, polisi wanatoa "heshima kidogo" kwa viongozi wa kitaifa. Wanachama wengine ni sisimizi tu wasio na thamani yoyote ile.
 
Njia pekee ya kuzuia machafuko nchini ni CCM kukubali sauti ya umma.

Kama ni kupigana ni vizuri tukajua kuwa waathirika ni wananchi wote kwa ujumla, na hasa wasio na uwezo wa kukimbia nchi.

TUKIAMUA KUPIGANA HAKUNA ATAKAYEPONA, SIO CCM WALA CHADEMA WALA NCCR WALA CUF WALA YEYOTE YULE.

CCM wajue kuwa Kuna watu wako mtaani tu lakini wana ujuzi wa kijeshi walioupata kwa njia wanazojua wao kwa hobby tu,... tutakapopigana pigana ovyo tutajikuta tunazaa majeshi yasiyo rasmi mitaani ambayo yakipuliziwa bangi mbili tatu Shimbo atakuwa wa kwanza kutolewa kichwa.

TUKIWASHA MOTO WA CIVIL WAR.......BASI YATAKAYOJIRI YACHUNGULIE SOMALIA...... Rwanda na Burundi zimetulia kwa msaada mkubwa sana wa Tanzania. Tanzania ikifyatuka je ni nani ataidaka???

CCM acheni umalaya!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
vijana wa green guard hawana akili na Fuya ameshashindwa, walicofanya hakina maana... lakini mbowe ameonyesha upuuzi mkubwa kama mwenyekiti wa chama kushindwa kumalizia mkutano na kufuata utaratibu wa sheria (ambao yeye kwa wilaya ya hai ana priviledge hiyo kubwa tu na anaijua) kumtoa kijana wake

Kama tunalaani violence, basi tuifanye kwa vitendo... kwa kwenda kufanya mambo ya tambaza nimesikitika sana

siamini mtu mwenye staha anaweza kuvunja mkutano kwenda kuokoa kwa staili ya kibohehe, mringa au tambaza

angetuma vijana

Nimesikitishwa na green guards lakini nimesikitishwa zaidi na mbowe

ukifanya ya kipumbavu na mpumbavu, watu hawatajua tofauti yenu

Nikweli kabisa Acid aliyofanya hakutakiwa kuyafanya ila ukumbuke CCM ndio wameendeleza hivi vitendo kwenye mikutano ya vyama vingine na kujeruhi watu, na taarifa zinaletwe eti watu wanaosadikika ni wafuasi wa CCM ndio wamesababisha. Hakuna kiongozi yeyote wa ccm aliekemea hivyo vitendo na je jeshi la Polisi wako wapi wakati wote vikitokea????? Vitu kama hivi ni wananchi woote wanatakiwa kuvikemea kwa nguvu zote tunapoelekea sio kuzuri kabisa.
 
Jana akiwa B'mulo kwenye mkutano wa kampeni Dr. Slaa aliwashauri Chadema kuwa 'ukipigwa kofi usilipize bali geuza na upande wa pili'. Hawa wenzetu wa Hai hawakumsikia?

Walimsikia loud and clear, swali kwako ni kuwa, je wanaccm walimsikia Kikwete alivyosema kuwa si vyema kutumia maiti za watanzania kwenda ikulu?
 
haya si wamesema damu haitamwagika...mbona tunafika hali hiii...tena kwemye wiki nyerere ...mpiganaji mkubwa wa demokrasia...watanzania tunaona tunasubiri octoba 31
 
Mbowe alitaka kumwaga damu watu? huyu jamaa ni mtu hatari sana hasa kwenye maswala ya maslahi yake anaweza mtoa uhai wa mtu...

Huyu hawezi pata ubunge hai, anakubalika kwao tu Machame pekee ndiko anakokubalika,swala la ubunge kwa kipindi hiki asahau kwa kweli ..
 
CHADEMA waombe kibali cha kutrain green guard wao na wenyewe. Wauambie umma namna ambavyo wanaumizwa na waeleze nia yao ya kujilinda kwa njia ya kutrain walinzi wao. Kwa kuwa CCM imetrain 5000 CHADEMA wanaweza kutrain hata 10000, wiki mbili hizi zinatosha kabisa kutoa mafunzo kamili kujiandaa na vita ya tar 1/11 yatakapotangazwa matokeo. Vinginevyo CCM watatumaliza na hatutakuwa na namna ya kujitetea.
Kama chama chochote kikifanya mafunzo kama waliyofanya CCM utaona watakanyo kamatwa lakini kwa kuwa ni CCM serikali haioni tatizo kuna siku walipiga mwandishi wa habari kule shinyanga walimuumiza vibaya sana hilo hawakuliona lakini kama kutedo hicho kingefanywa na Chadema basi hata wadishi wa habari wange weza kuungana kuizilia kuandika taarifa za Chadema, wao waendelee kumwanga damu ya watanzania wakiamini mafunzo yao ya kijeshi yatawatishi watanzania....Chadema mafunzo yetu tuyaelekeze jinsi ya kuzuia kuibiwa kura tarehe 31-10-2010
 
Bana eeeh sasa hii nchi tuingie vitani tu..hii mambo ya kusema amni ni upumbavu tutwangane tuuwane ndo tutaheshimiana.. yes i said it !!! TUINGIE VITANI
 
Ulichotoa hapo, na walichotoa wana ccm (kadogoo na Anfaal) vina tofauti gani? nimetumia neno spin za wanaccm, kama hii inakufanya wewe mwanaccm so be it.

Ngoja nikukumbushe jambo moja, miaka fulani iliyopita wakati mkapa akiwa preziii. CUF walifanya mkutano kigamboni (au temeke) kama sikosei. Polisi kama ilivyokuwa kawaida yao wakati wa uongozi wa mkapa, wakaenda wakatoa kipigo cha nguvu sana. Watu wengi sana waliumizwa na kupelekwa polisi. I know this kwa sababu nilikuwepo kwenye mkutano huo.

Mkutano uliofuatia, CUF wakampeleka Lipumba akasaidie kwenye kampeni. Polisi kama kawaida yao, wakatoa dozi kwa wafuasi wa CUF (this time wakampiga Lipumba). Lipumba akaumizwa mkono kutokana na kipigo. Kwa kuonesha solidarity kwa wanachama wake, Lipumba "akalizimisha" kukamatwa pia na polisi. Vyombo vya habari vikachukua picha... the next thing we know, picha zinaoneshwa kwenye TV na kwenye magazeti Lipumba akiwa kafungwa bandage akielekea kwenye tinga tinga la polisi.

Hiyo publicity ilikuwa too much for Mkapa to handle. Since then, polisi walianza kuwa na adabu kwenye mikutano ya CUF. Kama Lipumba angeingia mtini na kuacha wanachama wake, nadhani risasi za moto zingetumika kuwafagilia mbali.

Katika kampeni za upinzani, polisi wanatoa "heshima kidogo" kwa viongozi wa kitaifa. Wanachama wengine ni sisimizi tu wasio na thamani yoyote ile.
Huna haja ya kuandika kirefu kiasi hicho. Nani kakwambia mie ni CCM? Ni lazima tujifunze kuwa objective. Sio wakifanya CCM si sawa ila CHADEMA sawa. Nchi haiwezi kuendelea kwa mentality hii. Ndio maana nilikwambia soma btn the lines uone km kuna mtu katetewa. Kuna kipindi ushabiki wa CHAMA uwe unawekwa kando kiasi. Hii haina tofauti na kujichukulia hatua mkononi kwahiyo tunasahau utawala wa sheria huku tukiwa wahubiri wakuu wa hali hiyo.
 
Mbowe alitaka kumwaga damu watu? huyu jamaa ni mtu hatari sana hasa kwenye maswala ya maslahi yake anaweza mtoa uhai wa mtu...

Huyu hawezi pata ubunge hai, anakubalika kwao tu Machame pekee ndiko anakokubalika,swala la ubunge kwa kipindi hiki asahau kwa kweli ..

Kweli?
 
Wewe ni ccm mkuu (kwa mtizamo wangu). Sidhani kama unanizuia kuandika hivi.
 
Wewe ni ccm mkuu (kwa mtizamo wangu). Sidhani kama unanizuia kuandika hivi.
Njoo na evidence. Pitia posts zangu vyema na ikiwezakana bandika hapa. Pitia majukwaa yoote itakusaidia zaidi.
 
Mbowe alitaka kumwaga damu watu? huyu jamaa ni mtu hatari sana hasa kwenye maswala ya maslahi yake anaweza mtoa uhai wa mtu...

Huyu hawezi pata ubunge hai, anakubalika kwao tu Machame pekee ndiko anakokubalika,swala la ubunge kwa kipindi hiki asahau kwa kweli ..

Hujawahi kuandika kitu cha maana hapa JF! Si lazima uwe unachangia kila tundiko....hivi umeandika kitu gani hapo? Next time tumia ubongo na si udongo kwenye issue za kitaifa!
 
Mbowe alitaka kumwaga damu watu? huyu jamaa ni mtu hatari sana hasa kwenye maswala ya maslahi yake anaweza mtoa uhai wa mtu...

Huyu hawezi pata ubunge hai, anakubalika kwao tu Machame pekee ndiko anakokubalika,swala la ubunge kwa kipindi hiki asahau kwa kweli ..

Ina maana katika habari nzima hicho kitendo cha Mbowe ndicho ulichokielewa zaidi unataka kutuambia hukuona kilichosababisha.
 
Kamende, kitendo tuu cha Kikosi cha ulinzi cha CHADEMA kilimdhibiti huyo kijana na kumhifadhi katika gari moja kwa lengo la kupisha mkutano uendelee hii abduction na illegal deteintion, hicho kikosi cha ulinzi cha Chadema kilipata wapi uwezo huo?.

Kumdhibiti mfanya fujo its a right move hatua iliyotakiwa kufuata ni kumkabidhi kwenye vyombo husika na sio kumhifadhi katika gari, suppose anything fatal ingemtokea huyo kijana, Chadema ingeweka wapi sura yake?.

Kumbukeni mnagombea kisu chenye makali kuwili huku wenzenu wameshika kwenye mpini!.

Pasco, nikikusoma naona ni mtanzania mwenye busara, lakini unasikitisha badala ya kulauma chama kinachotoa mafunzo ya kijeshi kwa wanajeshi wa kijani wewe unalaumu waliovamiwa? Hawa wanajeshi vijana wa CCM unaambiwa wameongozana na mgombea wa udawani. Ina maana wanabaraka zote za chama. Hiyo sheria inayoruhusu kufunza jeshi la chama iko wapi? Na kwa nini wakawafamyie fujo kwenye mkutano halali wa kampeni? CCM wakubali tu, ni uamuzi wa wananchi wameamua kubadilisha uongozi, ni wimbi nchi nzima, hawaitaki tena CCM.

Angalia hapa chini wananchi walivyoikubali Chadema, CCM mnaanzisha vita ya nini? Hii ni zamu ya Chadema, wananchi wameamua.

9T-songea.jpg
 
Njoo na evidence. Pitia posts zangu vyema na ikiwezakana bandika hapa. Pitia majukwaa yoote itakusaidia zaidi.

Nilipitia yote kabla sijaandika hapa. Huu ni mtizamo wangu na nimeuweka hapa. Kama wewe si mwanaccm then it's okay.... but mimi nimekuona kama mwanachama wa chama cha mafisadi.
 
Umeweka post makini sana.
Ni kweli Green Guards wamefanya uhalifu lakini MBOWE naye kama alifight back basi imetia doa sana demokrasia nchini.
Sasa hapo nani atamlaumu mwenzake? Ina maana kama siasa za CCM ni kuteka nyara wapinzani wao basi tuwaachie vyombo vya dola wawanyooshe na siyo jukumu letu kuchukua sheria mkononi.
Mungu ibariki Tanzania
Kura zetu kwa CHADEMA
Slaa for president

Sasa wewe unataka waonewe mpaka lini? Yaani kupigwa wapigwe ila wasireact coz wakireact watatia doa. This attitude ndo imetufikisha hapa tulipo. People wanatupandia kichwani tuwaanagalie tuuuu. This is our country you know, we have the rights you know. Stop whining and act.
 
Back
Top Bottom