Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF

KUPUMULIWA MGONGONI NI LUGHA BWANA MWANAKJJ KUWA MTU USIMUAMINI KIASI CHA KUPITA, WENGI WAMELIZWA KWA KUWAAMINI WATU KWA KUPITA KIASI. SAMAHANI KAMA HUKUELEWA KISWAHILI NI LUGHA YENYE MAFUMBU MENGI,kuna mengine MBISHI kama shipa si matusi ni maneno tuu.

kama nina ugomvi na Mwanakijiji vipi wewe unamjibia? amekutuma au anatumia jina lako? yeye yupo hapa kama kaguswa atajibu.

So far hii ni half time show ya JF ili Mkjj afuatilie mikataba mingine ya wizi na ufisadi wa ccm. So far you are getting kicked na mimi so endeleza explosions!
 
Hii ni mbaya sana kwa wanachadema wa JAMBOFORUMS: Kwa maana:
(a) Hawajui historia ya chama chao
(b( hawamjui mwenyekiti wao
(c) watu wanadandia treni kama akina Mnyika, na wengine wa hapa JF kwa sababu wameahidiwa kitu bila kujua zaidi nini nia na madhumuni ya kuanzishwa chadema
(d)inasikitisha sana vijana wanatumia muda na mawazo yao kupelekeshwa na chadema na MBOWE ilimradi akina MBOWE matarajio yao yaende kama walivyopanga ! AIBU HII TENA NNI DISASTER !
 
Wana JF waliangusha chini serikali ya untouchable ... Lowasa. Hayo mengine ni half time show kabla the second phase haijaanza
 
Inaonekana unamjua sana Rostam kuliko report za bunge na yeye mwenyewe alichoamua kuonyesha... by the way usijikombe sana kwa Kitila Mkumbo maana ameokoka huyo na ni mume wa mke mmoja tu!

hicho kigari cha Rostam Azizi ulichonunuliwa mbona kitakutokea puani karibuni wananchi wakianza kudai pesa zao alizokwibwa huyu mwizi?!

KITILA NDIO MSOMI PEKEE CHADEMA ndio maana nimemtaja,au Slaa na theoloji yake anajiita DR? sasa kwenye debate atakwenda nani kama sio KITILA. wewe huna uwezo wa ,kusoma karatasi hazijatulia.

siihitaji kujua kama ana mke hainihusu.ila wewe mwenye mchezo wa kuombaomba vya watu ndio uchukue tahadhari.huu utandawazi unaweza kutuletea watu na tabia mbovu za magharibi. tunataka vijana waende nje waje na elimu safi sio mambo ya kina Elton John.

Mie sina gari ni chinga natembea kwa miguu. Chinga niko JF kabla Balile hajatoka Tanzania Daima nina miaka kadhaa humu.vipi unifananishe na kanjanja kama Balile? unajua wewe hujui waandishi ndio maana unamuonea wivu Balile.

kaka wewe uko marekani anaona wivu Balile ana gari? kwani ulaya gari si kama kandambili.ilikuwa watu wangu wa Masasi ndio washangae.
pole sana una maradhi mazito Mbowe anaweza kukutibu.
 
Usijikombe sasa kwa Kitila umesikia....... hayo ya kutembea kwa miguu ni biashara yako so take time na usafiri wako huo wa Rostam na Manji... na ukitaka vidali po unajua pa kuvipata kule darhotwire....
 
Wana JF waliangusha chini serikali ya untouchable ... Lowasa. Hayo mengine ni half time show kabla the second phase haijaanza

1196144825_mbowe.jpg

+

john.jpg

+

logo.gif

+

image.php

=

DClub_LOGO.jpg

HAO NDO WALIOANGUSHA SERIKALI >>??<< AU ???
 
leo ni nje ndani ! naomba kuomba msemo wa mbowe !

hatulali hadi kieleweke !
 
Usijikombe sasa kwa Kitila umesikia....... hayo ya kutembea kwa miguu ni biashara yako so take time na usafiri wako huo wa Rostam na Manji... na ukitaka vidali po unajua pa kuvipata kule darhotwire....

VIDALI TUU VIPI MBOWE CLUB(BILICANAS) KILA JUMATANO.
SIWEZI KUJIKOMBA KWA KITILA MTU AMBAYE HANA VISION YA SIASA YAKE ANABADILISHA VYAMA KAMA NGUO NDOGO. CHAMA GANI HAJAPITA? YUKO SAFARINI TAKE MY WORD.

NIMEKUULIZA MASWALI YA MKUTANO WA CHADEMA HUJAJIBU,WEWE NI SHABIKI WA MWANACHAMA WA CHADEMA SI MWANACHAMA WALA MPENZI WA CHADEMA.

NAKUPA KWA UFUPI TU MZEE MTEI HUTOBA YAKE ILIZUNGUMZIA SANA AZIMIO LA ARUSHA ALIKUWA NA KIFULANA NYEUPE.MBOWE WALA HUKUZUNGUZA.HESHIMA KWA BABA MKWE WAKE(MTEI) NA LILIANI ALIKUWEPO HAPO NDIO UJUE NI SACOSS YA MZEE MTEI NA MKWEWE MBOWE.

NA PICK UP ZA JAMAA WA KLICHAGA ZILIKUWA KAMA KUMI. HABARI HII MUULIZE BALILE AMBAYE MJINI ALIKUWA HAJAJA KAMA WEWE?
 
unaongea PUMBA !

Usianze kulia kada... hii game kubwa na peke yako hutaweza kuzuia nguvu ya watanzania waliochoshwa na wizi na ubadhirifu wa serikali ya ccm. Pole sana mwenzangu kama hukujua hili.

Kajipange zaidi wakati bunge likisubiriwa kuunda tume maalumu ya kuchunguza madeni na matumizi yote ya NSSF. Poor Kikwete, karibu tena atavunja baraza la mawaziri... this time omba upewe nafasi maana wenzako wanauza nchi ambayo watoto wako wangeiita kwao. Sio kuwa ukiita ninachosema pumba kinakuwa hivyo, kajipangeni upya maana hii imeback fire big time!

Pole sana, labda uanze tena ile kampeni yako ya kupondea ufisadi wa JF maana hizi zingine mhhhhhhh
 
VIDALI TUU VIPI MBOWE CLUB(BILICANAS) KILA JUMATANO.
SIWEZI KUJIKOMBA KWA KITILA MTU AMBAYE HANA VISION YA SIASA YAKE ANABADILISHA VYAMA KAMA NGUO NDOGO. CHAMA GANI HAJAPITA? YUKO SAFARINI TAKE MY WORD.

NIMEKUULIZA MASWALI YA MKUTANO WA CHADEMA HUJAJIBU,WEWE NI SHABIKI WA MWANACHAMA WA CHADEMA SI MWANACHAMA WALA MPENZI WA CHADEMA.

NAKUPA KWA UFUPI TU MZEE MTEI HUTOBA YAKE ILIZUNGUMZIA SANA AZIMIO LA ARUSHA ALIKUWA NA KIFULANA NYEUPE.MBOWE WALA HUKUZUNGUZA.HESHIMA KWA BABA MKWE WAKE(MTEI) NA LILIANI ALIKUWEPO HAPO NDIO UJUE NI SACOSS YA MZEE MTEI NA MKWEWE MBOWE.

NA PICK UP ZA JAMAA WA KLICHAGA ZILIKUWA KAMA KUMI. HABARI HII MUULIZE BALILE AMBAYE MJINI ALIKUWA HAJAJA KAMA WEWE?

Kutumia CAPS hakugeuzi unachoongea kiwe facts.. haya mambo ya uchaga na ukikuyu hayatajenga hoja yako hapa... is this all ccm can give? wako wapi wanaccm wengine maana unawaaibisha sasa!

Ngoja nikupe nafasi tena ili utafute facts maana hii sasa hata Makamba angetoa points!.... poor guy... unatia huruma sasa!
 
Nimeona hao wote ni saizi yako washugulikie tu nakuamini utawagalagaza tu. just a matter of time
 
KITILA NDIO MSOMI PEKEE CHADEMA ndio maana nimemtaja,au Slaa na theoloji yake anajiita DR? sasa kwenye debate atakwenda nani kama sio KITILA. wewe huna uwezo wa ,kusoma karatasi hazijatulia.

siihitaji kujua kama ana mke hainihusu.ila wewe mwenye mchezo wa kuombaomba vya watu ndio uchukue tahadhari.huu utandawazi unaweza kutuletea watu na tabia mbovu za magharibi. tunataka vijana waende nje waje na elimu safi sio mambo ya kina Elton John.

Mie sina gari ni chinga natembea kwa miguu. Chinga niko JF kabla Balile hajatoka Tanzania Daima nina miaka kadhaa humu.vipi unifananishe na kanjanja kama Balile? unajua wewe hujui waandishi ndio maana unamuonea wivu Balile.

kaka wewe uko marekani anaona wivu Balile ana gari? kwani ulaya gari si kama kandambili.ilikuwa watu wangu wa Masasi ndio washangae.
pole sana una maradhi mazito Mbowe anaweza kukutibu.

Nilikuwa na imani kubwa na CHADEMA lakini baada ya analysis ya Chinga,sina hamu tena.Kweli Usilolijua ni kama usiku wa giza!!
 
Back
Top Bottom