Sidhani kama ukiniita mjinga na mtoto itasadia chochote kwenye argument yako... so for your record, mimi sitakuita wewe hayo majina maana una heshima zako na kwa hizo heshima nakupatia.
Mwenyewe unajua kabisa kuwa wewe na FMES mna posts kibao sana hapa JF. Inashangaza kuwa unadai kuwa kuna watu wanataka wao tu ndio waongee hapa... katika hili bado hujajibu
Kunitisha mimi sidhani kama kutasaidia chochote hapa. Naona wewe ndio hutaki mimi nishiriki hapa JF ila kila mara wadai kuwa iko biased (JF) na inazuia maoni ya watu hapa ... argument yako iko wapi?
Ukisema mimi ni Mwanakijiji then Mwanakijiji atakuwa nani? Hii ni dalili ya kuishiwa hoja Kada... tetea argument yako kama ulivyokuwa zamani, hii ni below your standard!
MWanakijiji atakuwa KOBA,MADELA,BEN na Mwafrika wa kike.