Mkuu wanaweza pia kuwa maadui zake ndani ya Chadema, ndio wanao-pump hii kitu ukweli ni kwamba haimsaidii kisiasa, benki ya NSSF tayari imeshakubalika na jamiii yetu kuwa ni ya kifisadi, no question about it na kwamba inakopesha mafisadi, tena hii hoja imejengwa na upinzani na ikakubalika na wananchi, hiyo ni political fact ya bongo Freeman, hawezi kuikwepa, sasa the political impact hapa sio legality of the ishu, au the unfairness of maadui wa Freeman kisiasa, tatizo ni the moral authority ya Freeman kusimamia ishu muhimu za taifa kama alivyokuwa kabla ya hii ishu kutokea in public, hilo halikwepeki,
ninarudia tena Freeman, alimelize hili tatizo, now anaweza kuoshwa na haraka na mambo mawili tu, either kusema wazi kuwa ninaenda kesho kulilipa, au sidaiwi ni waongo, otherwise wananchi wetu wa bongo wasioelewa vizuri kinachoendelea, na kwamba Mwalimu bado yupo, I m afraid kuwa Freeman anacheza kwenye box la maadui wake kisasa on this ishu.
It is only my opinion, halafu Mkulu Freeman, unajua wazi kuwa marehemu old man angekuwepo, angeenda kulilipa bila hata ya kukwambia, kwa sababu knowing him as I do this is the last thing angependa kusikia on mtoto wake, Please mkuu I am appealing to you personally, kwamba kama hilo deni lipo kweli, lilipe mkuu, turudi kwenye focus ya taifa. Kumbuka ishu nyingi unazorushiwa zimeshindwa ku-stick kwa sababu ya kukosa ukweli, but this one inaoneakana ina ukweli, sasa kwa wale operative wa siasa chafu sasa ni wakati wa kuingia kazini na kujaribu kuunganisha na zingine, ndio maana ni muhimu kuizima hii sasa.
Ahsante Mkuu!