Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF

Ulitaka awachukue mabosi wako Rostam Azizi na Manji?
Alimchukua mwizi mwenzake(liliani) ambaye hata kutia curl nywele anashindwa kwa kutafuta.

maana hata mama Mkapa alikuwa hana muda wa kusuka wala kutia wanja. muda wote macho mekundu kwa kutafuta. kweli Liliani akiwa fisrt lady itabidi tuhame nchi.kwani hujui mwanaume nani na mwanamke nani.
 
basi punguza kidogo ! NAKUOMBA !

Usijali Kada.... baada ya kusikia hiyo ya hapo kuwa Mbowe ni mkikuyu imenipa sababu ya kupunguza mawe maana naona kuna mtu atapasuka kwa kukosa la kusema hapa...

Mbowe ni mkikuyu? mhhh kuna mengi yanakuja hapa JF.. kama kawaida ninakamata pop corn kuendelea na movie nakushuhudia explosion za wanaccm?
 
watu wana hasira na wanazipeleka kwa RA na CCM ! watapasuka karne hii !

Kada,

atakayepasuka hapa ni mwizi na mkoloni (ambaye sasa hivi hata uraia na elimu yake vimekuwa questionable) Rostam Azizi. Ile story ya magazetini aliulizwa kuhusu uraia wake na alikosomea akaombwa kuachwa alone maana hana la kujibu...

Hakujua alichokuwa anaanzisha katika hili yeye na mpambee wake balile. Mahakama soon itaamua kesi ya Mbowe na Mbowe atalipa deni lake, je Rostam atarudisha vipi mabilioni ya pesa aliyoiba na maelfu ya watoto wa kitanzania aliouwa?!
 
Alimchukua mwizi mwenzake(liliani) ambaye hata kutia curl nywele anashindwa kwa kutafuta.

maana hata mama Mkapa alikuwa hana muda wa kusuka wala kutia wanja. muda wote macho mekundu kwa kutafuta. kweli Liliani akiwa fisrt lady itabidi tuhame nchi.kwani hujui mwanaume nani na mwanamke nani.

Naona utasema kuwa Mama mkapa ni mtusi au mhutu sasa kwa jinsi ulivyoishiwa hoja.....
 
Hapa anayeongelewa ni MBOWE na sio BLOW JOBS bana, kaeni kwenye topiki ! na sio kingine, kama mtu umeshindwa TOKA na uache CHINGA amwage facts !

MBOWE kawa nani watu wasimuongelee, jamani mmeolewa na MBOWE ?? maana kila anapoongelewa MBOWE basi mnatia maguu yenu kutetea hata pale alipokosea, wakati huo huo mkiwasema CCM hamna mtu anayewafuata, sasa please Mwafrika wa Kike na wenzako JUST SET THE RECORD STRAIGHT kama hamtaki MBOWE aongelewe humu !!TUJUE MOJA !

Lakini sio kukaa na kuchukia watu wanapomjadili MBOWE, huo ni UJINGA ! JUST SET THE RECORD STRAIGHT !

Binafsi sina chama, lakini wengi wapo upande mmoja (kujadili ishuz za upande mmoja) na baadhi (wachache sana) tunajadili upande mwingine SASA HAPO TATIZO NINI ?? au mnadhani mnaweza kujadili pande zote peke yenu ?? screwed up !
 
Kada,

atakayepasuka hapa ni mwizi na mkoloni (ambaye sasa hivi hata uraia na elimu yake vimekuwa questionable) Rostam Azizi. Ile story ya magazetini aliulizwa kuhusu uraia wake na alikosomea akaombwa kuachwa alone maana hana la kujibu...

Hakujua alichokuwa anaanzisha katika hili yeye na mpambee wake balile. Mahakama soon itaamua kesi ya Mbowe na Mbowe atalipa deni lake, je Rostam atarudisha vipi mabilioni ya pesa aliyoiba na maelfu ya watoto wa kitanzania aliouwa?!

yupo wapi ?
 
Hapa anayeongelewa ni MBOWE na sio BLOW JOBS bana, kaeni kwenye topiki ! na sio kingine, kama mtu umeshindwa TOKA na uache CHINGA amwage facts !

Naona kuna tafsiri nyingi sana za maneno facts na BJ

MBOWE kawa nani watu wasimuongelee, jamani mmeolewa na MBOWE ?? maana kila anapoongelewa MBOWE basi mnatia maguu yenu kutetea hata pale alipokosea, wakati huo huo mkiwasema CCM hamna mtu anayewafuata, sasa please Mwafrika wa Kike na wenzako JUST SET THE RECORD STRAIGHT kama hamtaki MBOWE aongelewe humu !!TUJUE MOJA !

Kada,

quote post yangu yoyote niliyosema kuwa Mbowe asijadiliwe na nitasign off right now.

Lakini sio kukaa na kuchukua watu wanapomjadili MBOWE, huo ni UJINGA ! JUST SET THE RECORD STRAIGHT !

Binafsi sina chama, lakini wengi wapo upande mmoja (kujadili ishuz za upande mmoja) na baadhi (wachache sana) tunajadili upande mwingine SASA HAPO TATIZO NINI ?? au mnadhani mnaweza kujadili pande zote peke yenu ?? screwed up !

Kada naona umesahau kuwa kati ya watu wenye posts nyingi hapa JF ni wewe na FMES ambao wote mko upande wa CCM, hayo ya kusema kuwa watu wanajadili peke yao ni insult kwa wana ccm hapa kina Masatu, FD, Kasheshe, Mtu wa pwani, na wengineo ambao wana posts kibao na za kutosha!
 
Mtanzania.

Utasema hadi utachoka, hujui kuwa MBOWE ni mbumbu? unapo kopa unauliza jee kuna SIMPLE INTEREST?

sasa kama aliingia mkataba wa kumsomesha Balile-Hull lakini BALILE akamkimbia, hilo linathibisha kuwa jamaa ni MBUMBU, mie siwezi kumsomesha mtu halafu akirudi akimbilie kwingine.HATUNA LAWYER WA CONTRACT LAW AU BUSINESS LAW awatibu maradhi yao kina Mbowe,Kitila,na Mwanakijiji.

MBOWE NI MAJNUNI.
 
Naona sasa hii inaelekea kwenye name callings...

hasira za nini... rudisheni pesa za watanzania mnazoiba na MBowe ataawaacha alone. Kumtukana akutasaidia au kumzuia asifanye kazi yake ya kutetea watanzania.
 
Naona kuna tafsiri nyingi sana za maneno facts na BJ

Kada,

quote post yangu yoyote niliyosema kuwa Mbowe asijadiliwe na nitasign off right now.

Kada naona umesahau kuwa kati ya watu wenye posts nyingi hapa JF ni wewe na FMES ambao wote mko upande wa CCM, hayo ya kusema kuwa watu wanajadili peke yao ni insult kwa wana ccm hapa kina Masatu, FD, Kasheshe, Mtu wa pwani, na wengineo ambao wana posts kibao na za kutosha!

acha ujinga na utoto, BJ ulikuwa unarefer kwa maana Blow Job usidhani unaweza kuchezea akili zetu kiasi hicho, kuwa upande wa ccm na kuwa na posts nyingi DOES NOT JUSTIFY kwamba uwakande watu wanaomuhoji Mbowe ! Na sidhani kama kuna wanaCCM humu bali ni watanzania ambao mchango wao wa kimawazo umeelemea CCM na hiyo haimaniishi ni officially CCM, tusiende huko !

Lakini nitakachokwambia ni kwamba sihitaji nguvu za jani kuelewa BJ ni blow job !

Nilichosema ni kuhusu wewe na sio wengine hao uliowataja, lets not use other members kujustify unachosema, let that burden be on you ! INAONYESHA USHAWAWEKA MEMBERS FULANI KWENYE KUNDI LA CHAMA FULANI (ANGALAU SIJUI NI VIGEZO GANI ULIVYOTUMIA) SHOWS HAPA KUPO DIVIDED upende usipende !

sasa you have a choice to make, either kuwa respectable member kwa kuongea unachoamini bila kuvuruga hoja za watu au kuwa MJINGA na kutibua hoja za watu wanaojadili pande zote za shilingi ccm, cuf, nccr-mageuzi, chadema, ndp and the like !

Sidhani kama kila mtu humu ni mtoto kama unavyochukulia, lakini sidhani at any time mtu akitaka kuonyesha makucha yao watashindwa !

Na angalia unavyoandika inaonyesha wewe ni Mwanakijiji ! angalia uliposema nikuquote then utasign off right now, soma tena na utajua ninachomaanisha !
 
acha ujinga na utoto, BJ ulikuwa unarefer kwa maana Blow Job usidhani unaweza kuchezea akili zetu kiasi hicho, kuwa upande wa ccm na kuwa na posts nyingi DOES NOT JUSTIFY kwamba uwakande watu wanaomuhoji Mbowe ! Na sidhani kama kuna wanaCCM humu bali ni watanzania ambao mchango wao wa kimawazo umeelemea CCM na hiyo haimaniishi ni officially CCM, tusiende huko !

Sidhani kama ukiniita mjinga na mtoto itasadia chochote kwenye argument yako... so for your record, mimi sitakuita wewe hayo majina maana una heshima zako na kwa hizo heshima nakupatia.

Lakini nitakachokwambia ni kwamba sihitaji nguvu za jani kuelewa BJ ni blow job !

Nilichosema ni kuhusu wewe na sio wengine hao uliowataja, lets not use other members kujustify unachosema, let that burden be on you !

Mwenyewe unajua kabisa kuwa wewe na FMES mna posts kibao sana hapa JF. Inashangaza kuwa unadai kuwa kuna watu wanataka wao tu ndio waongee hapa... katika hili bado hujajibu

sasa you have a choice to make, either kuwa respectable member kwa kuongea unachoamini bila kuvuruga hoja za watu au kuwa MJINGA na kutibua hoja za watu wanaojadili pande zote za shilingi ccm, cuf, nccr-mageuzi, chadema, ndp and the like !

Sidhani kama kila mtu humu ni mtoto kama unavyochukulia, lakini sidhani at any time mtu akitaka kuonyesha makucha yao watashindwa !

Kunitisha mimi sidhani kama kutasaidia chochote hapa. Naona wewe ndio hutaki mimi nishiriki hapa JF ila kila mara wadai kuwa iko biased (JF) na inazuia maoni ya watu hapa ... argument yako iko wapi?

Na angalia unavyoandika inaonyesha wewe ni Mwanakijiji ! angalia uliposema nikuquote then utasign off right now, soma tena na utajua ninachomaanisha !

Ukisema mimi ni Mwanakijiji then Mwanakijiji atakuwa nani? Hii ni dalili ya kuishiwa hoja Kada... tetea argument yako kama ulivyokuwa zamani, hii ni below your standard!
 
usijali mzee niliona kama unaishiwa nguvu mkuu endelea kukata nyanga naona chinga ameishia mitini
 
Usijali Kada.... baada ya kusikia hiyo ya hapo kuwa Mbowe ni mkikuyu imenipa sababu ya kupunguza mawe maana naona kuna mtu atapasuka kwa kukosa la kusema hapa...

Mbowe ni mkikuyu? mhhh kuna mengi yanakuja hapa JF.. kama kawaida ninakamata pop corn kuendelea na movie nakushuhudia explosion za wanaccm?

Unajua Mwanakijiji wewe umeingia Chadema ukiwa Marekani,Kaburu aliporudi alijua anakwenda UMD ya Fundikira baada ya kukutana na Fundikira marekani akiwa na Marehemu Kambona, lakini aliyoyakuta akaomba kwenda CCM ili awe mbunge wa Kigoma mjini, pale akaja jamaa anaitwa Azim Premji akampiga bao Kaburu.

baada ya kuona kaburu hana kitu Ccm ndio akaingia Chadema.

story hii nalazimika kukupa wewe uliyeingia chama kupitia internet na JF, ni sawa na wewe kutafuta mchumba kupitia internet kwani mtu humjui atakudanganya kwa kila zuri.

kifupi mke hatafutwi kwenye computer kuna taratibu zetu wazee wametuwekea.
au ulivyokuwa hujafika Marekani ukitiza picha zao unaona kila kitu kizuri kama hujafika kwao huwezi kuujua udhaifu wake.

hivyo hivyo huijui CHADEMA wala MBOWE, umeisikia ukiwa Marekani.naomba niambie mkutano wa kwanza wa Chadema ulikuwa wapi 1992? alisema nini Senior Makengeza(Mtei)?

wadhamini wa Chama wa kwanza kuna kabila lingine zaidi ya wachagga? unawajua?
Chama huingii kupitia JF lazima uone matawi yao n.k ndio maana mwalimu aliweka utaratibu wa mafunzo ya Chama kuhofia malaya wa kisiasa kama kina Mkumbo ambao kila kukicha wanahama vyama utafikiri wanabadili nguo ndogo zao.

Kuna mtu kama Es ni mtoto wa mjini na anamjua vizuri Mbowe na Bilicanas. unajua kama Mbowe ni misheni Town na alikuwa akifanya deal za cheque fake pale kwenye duka lake la fedha?

pole sana una maradhi na huko marekani utapatiwa dawa yako.
 
mengi uliyosema SIKUBALIANI nayo, simtishi mtu hapa na sijawahi kumtisha mtu ! Sijamtukana mtu.... why am i on the defense ? anyway....

anyway am just eyeing another side of you, kama utakuwa hivyo sidhani kama kutakuwa na arguments zisizo na maana hapa JF ! anyway sikubaliani na mengi uliyosema, na kwa kuwa sitaki kuongelea personal ishuz hapa, lets keep the thread moving !
 
usijali mzee niliona kama unaishiwa nguvu mkuu endelea kukata nyanga naona chinga ameishia mitini

Chinga hawezi kazi ya JF, wanakuwa tu wanatafuta sababu za kuhamisha threads ambazo wanaanzisha wao wenyewe ili baadaye waanze vilio kuwa zinahamishwa.

Mtu anakuja na kuanza kusema kuwa Mbowe ni mkikuyu, mara Mama Mkapa hawezi kutofautishwa jinsia yake... mambo mengine hata yanatia kichefukichefu kuyaona.

This time wamechemsha maana hizi thread zote zinajadiliwa na sasa Kada ameanza kuniambia kuwa niache kuchangia. Hii thread is the best thing ever happened hapa. Hili soo la NSSF linaenda kwa Kikwete maana amemteua Mkullo kuwa waziri wa fedha huku akijua kashfa kibao zinazomkabili.

Sasa inahitajika tume ya bunge kuchunguza madeni yote ya NSSF na pesa zake zote toka 1990 hadi leo... tik tak tik tak tik tak
 
usijali mzee niliona kama unaishiwa nguvu mkuu endelea kukata nyanga naona chinga ameishia mitini

ahh, hahaa ! nimekupata mzee ! angalau sidhani kama kulikuwa kuna hoja iliyokuwa inaongelewa bali ni arguments za chini chini ambazo we had to keep them straight ili hii thread ya MBOWE iendelee na isitibuliwe, thats what i was trying to do mzee !

Ok, nimekupata !
 
Unajua Mwanakijiji wewe umeingia Chadema ukiwa Marekani,Kaburu aliporudi alijua anakwenda UMD ya Fundikira baada ya kukutana na Fundikira marekani akiwa na Marehemu Kambona, lakini aliyoyakuta akaomba kwenda CCM ili awe mbunge wa Kigoma mjini, pale akaja jamaa anaitwa Azim Premji akampiga bao Kaburu.

baada ya kuona kaburu hana kitu Ccm ndio akaingia Chadema.

story hii nalazimika kukupa wewe uliyeingia chama kupitia internet na JF, ni sawa na wewe kutafuta mchumba kupitia internet kwani mtu humjui atakudanganya kwa kila zuri.

kifupi mke hatafutwi kwenye computer kuna taratibu zetu wazee wametuwekea.
au ulivyokuwa hujafika Marekani ukitiza picha zao unaona kila kitu kizuri kama hujafika kwao huwezi kuujua udhaifu wake.

hivyo hivyo huijui CHADEMA wala MBOWE, umeisikia ukiwa Marekani.naomba niambie mkutano wa kwanza wa Chadema ulikuwa wapi 1992? alisema nini Senior Makengeza(Mtei)?

wadhamini wa Chama wa kwanza kuna kabila lingine zaidi ya wachagga? unawajua?
Chama huingii kupitia JF lazima uone matawi yao n.k ndio maana mwalimu aliweka utaratibu wa mafunzo ya Chama kuhofia malaya wa kisiasa kama kina Mkumbo ambao kila kukicha wanahama vyama utafikiri wanabadili nguo ndogo zao.

Kuna mtu kama Es ni mtoto wa mjini na anamjua vizuri Mbowe na Bilicanas. unajua kama Mbowe ni misheni Town na alikuwa akifanya deal za cheque fake pale kwenye duka lake la fedha?

pole sana una maradhi na huko marekani utapatiwa dawa yako.

Ukisikia uchemfu ndio huu, yameishia wapi madawi ya wizi wa Mbowe? kufilisika hoja ndiko huku na as usual, mnakomwa nyani giledi on your faces hadi mnaanza explosions! tik tak tik tak
 
Back
Top Bottom