Hivi ndivyo ilivyopelekwa kwenye jokes
mkamap
mkamap has no status. Edit
JF Senior Expert Member Join Date: Sat Jan 2007
Posts: 481
Rep Power: 22
Thanks: 0
Thanked 167 Times in 114 Posts
Credits: 30,902
Re: MBOWE ATUELEZE MILIONI 500 NI UFISADI ama LAH
--------------------------------------------------------------------------------
Quote:
Originally Posted by mtimti
kweli ndg umeishiwa hoja,kama unataka hesabu za vyama vya siasa nenda kwa msajili ya vyama utapata kila kitu,acha kudandia usichokijua!
tatizo liko palepale
Tunahoji jinsi ya malipo yao ya deni milioni 700. Kama ni halali poa kama si halali
Wangwe adhibitiwe mara moja.
Tatizo lenu mnakuwa wagumu kuelewa kua mtu unapohojiwa na unapoyakubali maswali ukayachukulia kama changamoto yanakujenga zaidi na kugundua sehemu kulipo na mapungufu Na si kila anayekuhoji ni adui yako.
Kimantiki maneno ya wangwe yanamtuhumu MBOWE kua ni FISADI hasa anaposema wanalipana kinyume cha sheria.Ili kuliweka hili wazi lazima wanaoshutumiwa wayaweke mambo bayana.
Kama na CHENGE naye tulivyomushutumu kuhusu JERSEY angatuambia nendeni JERSEY kwenye bank kuliko vijisent vyake lazima tungesema anadharau.
mkamap
View Public Profile
Send a private message to mkamap
Find all posts by mkamap
Add mkamap to Your Contacts
#5 Today, 06:33 AM
mwanaizaya
mwanaizaya has no status.
Senior Member Join Date: Sat Apr 2008
Posts: 55
Rep Power: 21
Thanks: 46
Thanked 11 Times in 8 Posts
Credits: 4,290
Re: MBOWE ATUELEZE MILIONI 500 NI UFISADI ama LAH
--------------------------------------------------------------------------------
iloooooooooooooooooooo kwikwikwi
nenda nss88888
mwanaizaya
View Public Profile
Send a private message to mwanaizaya
Find all posts by mwanaizaya
Add mwanaizaya to Your Contacts
#6 Today, 07:26 AM
mahesabu
mahesabu is ..........!
JF Senior Expert Member Join Date: Sun Jan 2008
Location: manzese
Posts: 574
Rep Power: 22
Thanks: 676
Thanked 211 Times in 154 Posts
Credits: 8,950
Re: MBOWE ATUELEZE MILIONI 500 NI UFISADI ama LAH
--------------------------------------------------------------------------------
mkamap, kwanza napenda kuuliza swali la kutaka kujua 'a point of kujua'
1. Hii wewe uliipost kwenye jukwaa hili au ufisadi umeileta hapa......?
2. MBOWE anatakiwa kujibu swali lako kuhusu hayo mamilioni ya walipa kodi kutumika vibaya
__________________
UZALENDO.....(JKT) KWA WAHITIMU.....!
mahesabu
View Public Profile
Send a private message to mahesabu
Send email to mahesabu
Find all posts by mahesabu
Add mahesabu to Your Contacts
#7 Today, 07:28 AM

na kama uliipost kwenye jukwaa hili na wewe nakukumbusha ' kitufe cha THANKS kinafanya kazi ' kibonyeze pale mwandishi anapokuwa amefanya vyema......!
__________________
UZALENDO.....(JKT) KWA WAHITIMU.....!
mahesabu
View Public Profile
Send a private message to mahesabu
Send email to mahesabu
Find all posts by mahesabu
Add mahesabu to Your Contacts
#8 Today, 01:02 PM
mkamap
mkamap has no status. Edit
JF Senior Expert Member Join Date: Sat Jan 2007
Posts: 481
Rep Power: 22
Thanks: 0
Thanked 167 Times in 114 Posts
Credits: 30,902
Re: MBOWE ATUELEZE MILIONI 500 NI UFISADI ama LAH
--------------------------------------------------------------------------------
Quote:
Originally Posted by mahesabu
mkamap, kwanza napenda kuuliza swali la kutaka kujua 'a point of kujua'
1. Hii wewe uliipost kwenye jukwaa hili au ufisadi umeileta hapa......?
2. MBOWE anatakiwa kujibu swali lako kuhusu hayo mamilioni ya walipa kodi kutumika vibaya
Nilipost kwenye siasa MAfisadi wamelileta huku kwenye jokes