Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF

Hili deni limeibuliwa kipindi hichi ili kubadilisha mkondo wa majadiliano ya katiba na dowans....hatudanganyiki...mapambano yanaendelea......mara ya mwisho NSSF waliibukaga na deni hili 2005 wakati mbowe alipogombea urais ...alioposhindwa ....hali ikapoa ....SASA UKOMBOZI WA PILI UMEPAMBA MOTO wamerudi tena ...lakini wajuwe kuwa hata wakimfilisi Mbowe hawawezi kufilisi akili za wana CHADEMA
 
Dawa ya deni ni kulipa tu. Mbowe hajafilisika kiiivyo. Mzee Mengi naye alizichota NBC. Akaenda nao Mahakamani. Akawashinda. Sasa hivi ni tajiri MZAWA!
 

By daring to say that in this house, you are in trouble my friend.

Any way, your observation could have been valid only if he was an elected president. Mbowe had no credibility of making a good president. Same for Slaa though on a different perspective.

May be Zitto or someone else have a better mindset and credibility for Chadema to consider for presidency 2015.



Si Mbowe pekee anayehusika na majadiliano ya Katiba na Dowans, sio muhimu kihivyo kusema kujadiliwa hili deni kutadiverge attension ya majority. To beep records straight, sssue ya deni la Mbowe ilikuwapo humu toka 2008 and before kama ulivyosema.
 
Unazungumzia EPA bila kujua kuna watu wanajipanga kisheria kufuatilia fedha zao maana epa ni hela za watu siyo za watanzania na ndiyo maana waliozikomba waliziona hazina mwenyewe. Any way tuachane na hayo maana ndiyo faida ya public figure mata chege alivyogonga ilikua trafic case na hukumu was right but kwa kuwa ni public figure basi kila neno litanenwa. Mbona huko NSSF wakuu wanagawana mafweza hatusemi au hawafilisiwi? Cha msingi tuangalie mambo ya msingi yenye kujenga nchi yetu nzuri.
 

Hiki ndicho ninachofikiri mimi pia.

Bwana Dau wa NSSF ni swahiba mkubwa wa Mkwere (kama walivyo Mkulo, Kikula). Anamsaidia. Ila ndio hivyo, keshachelewa.
 
Ni njama za kuwahamisha watu kwenye sakata la dowans na tukijisahau tu dowans wanalipwa kimya kimya.
 
Hiki ndicho ninachofikiri mimi pia.

Bwana Dau wa NSSF ni swahiba mkubwa wa Mkwere (kama walivyo Mkulo, Kikula). Anamsaidia. Ila ndio hivyo, keshachelewa.

Kwa nini tusifikirie kwanza kwamba Mbowe alizichota pesa hizi kwa kuomba yeye mwenyewe! Kwa nini Dau wakati anadaiwa na NSSF?
 
Maoni yangu tuhangaike na Dowans because that isssue is Real.

Haya mambo ya mtaani yasituyumbishe akili sahiiiiii!
 
ushenzi huu kwani anadaiwa mbowe tu? hata wewe uliyeandika hii thread unadaiwa

unajua tunadaiwa kiasi gani kama taifa? mbafff kabisa nchi yenyewe inaendeshwa kwa madeni itakua mbowe?
 
Sasa biashara ya Mbowe inatuhusu nini sisi hapa hili ni jukwaa la siasa kama ni issue ya biashara pelekeni kwenye biashara mbona mnampa jina huyo Mbowe ili tujue kuwa ana biashara au? cheap popularity ondoa hapa

Seconded!!!!!!!!
 
ushenzi huu kwani anadaiwa mbowe tu? hata wewe uliyeandika hii thread unadaiwa

unajua tunadaiwa kiasi gani kama taifa? mbafff kabisa nchi yenyewe inaendeshwa kwa madeni itakua mbowe?

Umekuja kwa staili hii mkubwa! Mbowe ni wetu sote. Ni KIongozi wa Kitaifa. Tunajaribu kudodosa upande wake wa pili.
 

Sound like ignorant of these things, ulisoma engineering nini!!!!!!!!!!
 

seconded
 
Ama kweli Mbowe amekuwa tishio kwa hao ving'ang'anizi..wanapitia mlango wa nyuma wakidhani wanamtisha kwa kumfunga speed governor ya kufufua deni la kubambikiza.
Hapa ni mpaka kieleweke..
 
Sound like ignorant of these things, ulisoma engineering nini!!!!!!!!!!
Hapana. sina taaluma yoyote! Cha mno nini hasa. Nimenukuu tu tangazo lile. Ignorance yangu ni nini hapo!
 
Tunashangaa Mbowe Hotel Ltd kudaiwa vimilioni wakati Dowans na wadogo zake watakaozaliwa tutawalipia watanzania wote? Achilia mbali external dedt ambayo inazidi kujilimbikiza na ni lazima tulipe au vinginevyo dunia ituonee tena huruma ifute kama walivyofanya enzi za mkapa. Hivi mbona enzi za JK sijisikia tumefutiwa angalau ka deni kamoja wakaki kila mara anapanda pipa? Ohhh nimesahau kuwa anaenda kutembeza bakuli la misaada!!! Hivi misaada hii inaishia wapi wakati wananchi walio wengi hawana huduma muhimu, chakula, malazi, etc. Kudaiwa katika biashara kama Mbowe Hotel si jambo la kushangaza!!! Mbona makampuni makubwa ya nchi tajiri wamefilisika na wamepotea katika ramani ya biashara ya dunia na hatusemi? Hivi hii credit crunch imekumba makampuni mangapi makubwa ya ulaya na marekani? Tufikiri kabla ya kunena, use facts, evidences, etc. Do scientific arguing!!
 
Mbona za mama spika ANNA MAKINDA zimeuzwa na NBC hazikuwekwa magazetini??? :twitch:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…