Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
SUKITA ilikopa wapi?
Ilichotewa HAZINA iliposhindwa ikakopa NBC iliposhindwa ikafilisiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SUKITA ilikopa wapi?
Dawa ya deni ni kulipa tu. Mbowe hajafilisika kiiivyo. Mzee Mengi naye alizichota NBC. Akaenda nao Mahakamani. Akawashinda. Sasa hivi ni tajiri MZAWA!Hili deni limeibuliwa kipindi hichi ili kubadilisha mkondo wa majadiliano ya katiba na dowans....hatudanganyiki...mapambano yanaendelea......mara ya mwisho NSSF waliibukaga na deni hili 2005 wakati mbowe alipogombea urais ...alioposhindwa ....hali ikapoa ....SASA UKOMBOZI WA PILI UMEPAMBA MOTO wamerudi tena ...lakini wajuwe kuwa hata wakimfilisi Mbowe hawawezi kufilisi akili za wana CHADEMA
NOTICE OF APPOINTMENT OF RECEIVER/MANAGER
Notice is hereby given to the general public that I, Charles Rutayuga Burchard Rwechungura of CRB Africa Legal, Dar es Salaam, was appointed by the National Social Security Fund ("NSSF") to Receiver/Manager of the Mbowe Hotel Limited (the "Company") effective from 25th January 2011
Linaendelea hivo hilo tangazo kwenye gazeti la Mwananchi la leo. Freeman ameshindwa kuwalipa hawa jamaa au? Tungemkabidhi Nchi mwaka 2005........!
Hili deni limeibuliwa kipindi hichi ili kubadilisha mkondo wa majadiliano ya katiba na dowans....hatudanganyiki...mapambano yanaendelea......mara ya mwisho NSSF waliibukaga na deni hili 2005 wakati mbowe alipogombea urais ...alioposhindwa ....hali ikapoa ....SASA UKOMBOZI WA PILI UMEPAMBA MOTO wamerudi tena ...lakini wajuwe kuwa hata wakimfilisi Mbowe hawawezi kufilisi akili za wana CHADEMA

Hiki ndicho ninachofikiri mimi pia.
Bwana Dau wa NSSF ni swahiba mkubwa wa Mkwere (kama walivyo Mkulo, Kikula). Anamsaidia. Ila ndio hivyo, keshachelewa.
Ni njama za kuwahamisha watu kwenye sakata la dowans na tukijisahau tu dowans wanalipwa kimya kimya.
Sasa biashara ya Mbowe inatuhusu nini sisi hapa hili ni jukwaa la siasa kama ni issue ya biashara pelekeni kwenye biashara mbona mnampa jina huyo Mbowe ili tujue kuwa ana biashara au? cheap popularity ondoa hapa
ushenzi huu kwani anadaiwa mbowe tu? hata wewe uliyeandika hii thread unadaiwa
unajua tunadaiwa kiasi gani kama taifa? mbafff kabisa nchi yenyewe inaendeshwa kwa madeni itakua mbowe?
Seconded!!!!!!!!
NOTICE OF APPOINTMENT OF RECEIVER/MANAGER
Notice is hereby given to the general public that I, Charles Rutayuga Burchard Rwechungura of CRB Africa Legal, Dar es Salaam, was appointed by the National Social Security Fund ("NSSF") to Receiver/Manager of the Mbowe Hotel Limited (the "Company") effective from 25th January 2011
Linaendelea hivo hilo tangazo kwenye gazeti la Mwananchi la leo. Freeman ameshindwa kuwalipa hawa jamaa au? Tungemkabidhi Nchi mwaka 2005........!
Nimeona hilo tangazo lakini mali kuwa kwenye receivership inamaanisha nini? Inamaanisha kwamba biashara tajwa imeshindwa kuliwa creditors wake kwa kiwango ambacho kimetajwa kisheria.Sasa haki ya kuombwa mali kufilisiwa inaweza kutolewa na mmiliki wa biashara mwenyewe,wakopeshaji wa biashara au mahakama.Sasa katika sheria ya makampuni mtu na biashara yake ni vitu viwili tofauti.Hivyo Mbowe hotel limited kufilisiwa haiusiani na mwenye mali hiyo tajwa moja kwa moja.Hivyo bado anaweza kuendelea na biashara zingine kama kawaida.
Naomba kutoa hoja.
Hapana. sina taaluma yoyote! Cha mno nini hasa. Nimenukuu tu tangazo lile. Ignorance yangu ni nini hapo!Sound like ignorant of these things, ulisoma engineering nini!!!!!!!!!!