Mzee wa Usafi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2008
- 644
- 292
kwa wataalamu wa biashara kila kitegu uchumi lazima kiwe na kampuni yake. Ili hiyo biashara ikifilisika isiweze kuathiri biashara nyingine zinazomilikiwa na mtu mmoja au big holding company....ndo maana Mengi anamakambuni kibao yaliochini ya IPP...hii pia inarahisisha ukokotoaji wa kodi. Hivyo Mbowe hotel imekuwa mufilisi lakini Aika Protea kule marangu na Billicanas zinaendelea ...huu ndo ujasilimia