Mzee wa Usafi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2008
- 644
- 292
Nchi za wenzetu ukifilisika/filisiwa unaachia ngazi zote za kisiasa ulizonazo!
Siyo nchi za wenzetu tu,hata hapa kwetu.Lakini elewa MBOWE HOTEL LTD ndiyo inayofilisiwa wala siyo Freeman Aikael Mbowe. Watanzania hebu tujielimishe kabla ya kuchangia au kutoa hoja tusiwe tunakurupuka. Corporate body is separate from its owner. If the corporate body is declared bankrupt, haimaanishi owner naye anakuwa bankrupt.
Hata suala la kaiba tunasema watu vijijini hawaijui,lakini kiukweli hata mijini watu wanaropoka tu hata hawajui wanaongea nini.
Mbona za mama spika ANNA MAKINDA zimeuzwa na NBC hazikuwekwa magazetini??? :twitch:
nchi za wenzetu ukiwa fisadi unafungwa maisha....Nchi za wenzetu ukifilisika/filisiwa unaachia ngazi zote za kisiasa ulizonazo!
Da kweli wewe ni Wild Card!!! Umeamua kusimama kidete kwa hoja yako. Ni fine. Hebu pia tusaidie Memorandum ya hiyo Mbowe Hotels Ltd tujue Wakurugenzi na shares holding!!! Tusije tukawa tunazungumzia Hotel ya Mzee Mbowe!!! Nijuavyo mimi Mzee Mbowe ndiye alikuwa mmiliki wa Hotel (main shareholder) na nijuavyo pia Memorandum hubadilika kadri owner anavyoona inabidi kufanya hivyo kwa misingi ya biashara zake. So please, can you bring to our attention the latest Memorandum for Mbowe Hotels Ltd? Your honour...
Ccm wanakufa maji wanatapatapa.......hawajui kwa kuelekea kwani nao wamekata tamaa
NOTICE OF APPOINTMENT OF RECEIVER/MANAGER
Notice is hereby given to the general public that I, Charles Rutayuga Burchard Rwechungura of CRB Africa Legal, Dar es Salaam, was appointed by the National Social Security Fund ("NSSF") to Receiver/Manager of the Mbowe Hotel Limited (the "Company") effective from 25th January 2011
Linaendelea hivo hilo tangazo kwenye gazeti la Mwananchi la leo. Freeman ameshindwa kuwalipa hawa jamaa au? Tungemkabidhi Nchi mwaka 2005........!
ni kweli mkuu wanaanza mamboyao,hakika ukiingia katika siasa ukubali na mawimbi yake mazito.Politics at work!
Nchi za wenzetu ukifilisika/filisiwa unaachia ngazi zote za kisiasa ulizonazo!
Hela za NSSF ni za WAFANYAKAZI, WATANZANIA wa kawaida kabisa. Freeman mwenyewe apime, aone ni hatua gani anastahili kuchukua!
He!!!,
Kumbe jamaa hili deni mpaka leo analo ndio maana nawaambie Mbowe hafai. Nilisikia jamaa alidai hawalipi, kuna watu wakaja kusema humu JF kuwa hadaiwi. Sijui watueleze kuhusu hili sasa
Not in Tanzania!
Sio ndio wamemchukulia hatua?
Siku zote watakuwepo wa kusema uongo ili kuficha mambo!
This thread have exposed how some of Tanzanians they can defend things even if they are wrong! we dont have moral standard,