Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF

NOTICE OF APPOINTMENT OF RECEIVER/MANAGER
Notice is hereby given to the general public that I, Charles Rutayuga Burchard Rwechungura of CRB Africa Legal, Dar es Salaam, was appointed by the National Social Security Fund ("NSSF") to Receiver/Manager of the Mbowe Hotel Limited (the "Company") effective from 25th January 2011
Linaendelea hivo hilo tangazo kwenye gazeti la Mwananchi la leo. Freeman ameshindwa kuwalipa hawa jamaa au? Tungemkabidhi Nchi mwaka 2005........!
 
NOTICE OF APPOINTMENT OF RECEIVER/MANAGER
Notice is hereby to the general that I, Charles Rutayuga Burchard Rwechungura of CRB Africa Legal, Dar es Salaam, was appointed by the National Social Security Fund ("NSSF") to Receiver/Manager of the Mbowe Hotel Limited (the "Company") effective from 25th January 2011

(hapo kwenye red)
ukiwa na status ya Premium Member hupashwi kuwaza ki-mbayuwayu-mbayuwayu namna hiyo.
 
NOTICE OF APPOINTMENT OF RECEIVER/MANAGER
Notice is hereby to the general that I, Charles Rutayuga Burchard Rwechungura of CRB Africa Legal, Dar es Salaam, was appointed by the National Social Security Fund ("NSSF") to Receiver/Manager of the Mbowe Hotel Limited (the "Company") effective from 25th January 2011
Linaendelea hivo hilo tangazo kwenye gazeti la Mwananchi la leo. Freeman ameshindwa kuwalipa hawa jamaa au? Tungemkabidhi Nchi mwaka 2005........!

Nimeona hilo tangazo lakini mali kuwa kwenye receivership inamaanisha nini? Inamaanisha kwamba biashara tajwa imeshindwa kuliwa creditors wake kwa kiwango ambacho kimetajwa kisheria.Sasa haki ya kuombwa mali kufilisiwa inaweza kutolewa na mmiliki wa biashara mwenyewe,wakopeshaji wa biashara au mahakama.Sasa katika sheria ya makampuni mtu na biashara yake ni vitu viwili tofauti.Hivyo Mbowe hotel limited kufilisiwa haiusiani na mwenye mali hiyo tajwa moja kwa moja.Hivyo bado anaweza kuendelea na biashara zingine kama kawaida.

Naomba kutoa hoja.
 
NOTICE OF APPOINTMENT OF RECEIVER/MANAGER
Notice is hereby to the general that I, Charles Rutayuga Burchard Rwechungura of CRB Africa Legal, Dar es Salaam, was appointed by the National Social Security Fund ("NSSF") to Receiver/Manager of the Mbowe Hotel Limited (the "Company") effective from 25th January 2011
Linaendelea hivo hilo tangazo kwenye gazeti la Mwananchi la leo. Freeman ameshindwa kuwalipa hawa jamaa au? Tungemkabidhi Nchi mwaka 2005........!

Hilo tangazo lina maana hiyo hoteli inafilisiwa, si ndiyo?

Niliwahi kusikia mgogoro huo wa NSSF na Mbowe miaka hiyo. Tena kuna gazeti la fisadi mmoja liliishikia sana bango suala hilo. Mhhh! Hiyo hoteli ipo au imebaki magofu tu?
 
<p>
NOTICE OF APPOINTMENT OF RECEIVER/MANAGER</p>
<p>Notice is hereby to the general that I, Charles Rutayuga Burchard Rwechungura of CRB Africa Legal, Dar es Salaam, was appointed by the National Social Security Fund (&quot;NSSF&quot😉 to Receiver/Manager of the Mbowe Hotel Limited (the &quot;Company&quot😉 effective from 25th January 2011</p>
<p> Linaendelea hivo hilo tangazo kwenye gazeti la Mwananchi la leo. Freeman ameshindwa kuwalipa hawa jamaa au? Tungemkabidhi Nchi mwaka 2005........!. so what....
 
Sasa biashara ya Mbowe inatuhusu nini sisi hapa hili ni jukwaa la siasa kama ni issue ya biashara pelekeni kwenye biashara mbona mnampa jina huyo Mbowe ili tujue kuwa ana biashara au? cheap popularity ondoa hapa
 
Hilo tangazo lina maana hiyo hoteli inafilisiwa, si ndiyo?

Niliwahi kusikia mgogoro huo wa NSSF na Mbowe miaka hiyo. Tena kuna gazeti la fisadi mmoja liliishikia sana bango suala hilo. Mhhh! Hiyo hoteli ipo au imebaki magofu tu?
Si ndio ile BILLICANA yetu au?
 
Sasa biashara ya Mbowe inatuhusu nini sisi hapa hili ni jukwaa la siasa kama ni issue ya biashara pelekeni kwenye biashara mbona mnampa jina huyo Mbowe ili tujue kuwa ana biashara au? cheap popularity ondoa hapa

Nchi za wenzetu ukifilisika/filisiwa unaachia ngazi zote za kisiasa ulizonazo!
 
Kwa hiyo unamaanisha Kiongozi wa Upinzani Bungeni kwa hili tangazo anakosa sifa ya kuendelea kuwa kiongozi wa hiyo kambi ya upinzani?
 
propaganda za kisiasa, hapa wanajaribu kuwasahaulisha watu mada ya Dowans
 
Kwa hiyo unamaanisha Kiongozi wa Upinzani Bungeni kwa hili tangazo anakosa sifa ya kuendelea kuwa kiongozi wa hiyo kambi ya upinzani?

Hela za NSSF ni za WAFANYAKAZI, WATANZANIA wa kawaida kabisa. Freeman mwenyewe apime, aone ni hatua gani anastahili kuchukua!
 
Hiyo ni siasa tu.. hakuna ukweli wowote hapo..

kwani Mbowe ni mmoja tuu nchi hii..

Na je hiyo inatuhusu nini sisi wapenda mabadiliko???
 
Back
Top Bottom